Pikipiki aina ya Boxer BM150 kwa Tsh. 500,000

Pikipiki aina ya Boxer BM150 kwa Tsh. 500,000

rajoh

Senior Member
Joined
Jun 2, 2011
Posts
174
Reaction score
142
Aina: Boxer BM150
Tatizo: Block imetanuka, inahitaji block nyingine.
Bei: Tsh. 500,000
Mahali ilipo: Kijichi, Dar
Mmiliki: Ni Mimi mwenyewe
Mawasiliano: 0712518886

6a560bc2ff2b511258af042b388c1295.jpg

e80362b722effd8e593cbdfb7f6bf25d.jpg

75ed9f8e583c8e20cedd6f12fda6467d.jpg
 
Duh...ni nzima kweli?
Au vyuma vimekaza tu...
Vipi kuhusu legal doc za umiliki!
 
Mkuu sijawahi kuhangaika na matengenezo ya block. Fundi alivyosema block imekufa nikamwambia kijana aipak
 
block og ni 105000/=, betri 35 mpaka 45 elfu, shock up za nyuma 80 elfu, chain box ?, spoket 20 elfu, tairi la nyuma 45 elfu, mfuniko wa kwenye betri ?, brake shoe 4000, oil 6000, kubadili kadi kwa jina langu ? duh
 
Sasa mkuu tutajuaje kama tatizo ni block tu mm nakaa kijichi mgeni nani na kama mashine itakuwepo mpaka wa kumi na moja nitakutafuta ila kama tatizo ni block na matatizo mengine madogo madogo
 
Sasa mkuu tutajuaje kama tatizo ni block tu mm nakaa kijichi mgeni nani na kama mashine itakuwepo mpaka wa kumi na moja nitakutafuta ila kama tatizo ni block na matatizo mengine madogo madogo
Mkuu kabla ya kununua si unajiridhisha mwenyewe... Chombo bado kipo vizuri tu.
 
Back
Top Bottom