simon baker
JF-Expert Member
- Oct 5, 2017
- 561
- 767
hahaha una utani na sisi mkuuKama inatoka sana moshi wauzie wachaga.
hahaha una utani na sisi mkuuKama inatoka sana moshi wauzie wachaga.
Aseme tu engine imekufa yote ili watu wajiandae kununua spear tu basi.Kama inatoka sana moshi wauzie wachaga.
Ndio maana nikasema inahitaji block nyingineAseme tu engine imekufa yote ili watu wajiandae kununua spear tu basi.
Ndg hiyo pikipiki inaweza kuwa na matatizo mengi zaidi mm nipe kwa laki2 nife nayoNdio maana nikasema inahitaji block nyingine
150,000/=Tuambieni bei ya hiyo block had muuzaji kashindwa kurepair isije tukanunua ikatunyea!
Duuh150,000/=
hatahivyo hiyo block inavitu vingi vya kunganisha ili ikamilike itakukost zaidi ya 300000/=+150,000/=
Itakuwa miaka minne[emoji4] [emoji134]na ina muda gani tangu uinunue
Uza kama spea tuu... hiyo imeshafariki jumla..Nahitaji taa moja ya nyuma.....Aina: Boxer BM150
Tatizo: Block imetanuka, inahitaji block nyingine.
Bei: Tsh. 500,000
Mahali ilipo: Kijichi, Dar
Mmiliki: Ni Mimi mwenyewe
Mawasiliano: 0712518886
![]()
![]()
![]()