Hivi mtu kama una akili timamu unaweza ukakusanya watoto hawa alafu uhutubie mkutano wa kisiasa watakusaidia nin sasa watu wengine bana au ndo kupambana na hali zenu. Mara wengine waseme eti wamepata madume inamaana walikuwa majike woote cdm nzima kichekesho kweli Mimi nilidhani tuna watu wenye...
Zitto hayo yote inakuuma coz hujapewa kitengo serikalini kama ulidhani kuwa kimya ili uteuliwe UDC au URC umechemka utasubiri sana ww pambana na hali yako sio kuanza kuongea pumba uchumi umeshuka nyumbani kwako na sio serikalini
Ww unayesema umelithibitisha hilo au umetega ili usikie serikali itasema nn. Kama ulitumwa kuandika thread ya namna hiyo ushafeli kajipange upya au urudi kinyumenyume upo.
Hahahaaa haibu kweli eti vifaa vya kisasa umetuka navyo uingereza yaani ujinga wako was kutojua projector uje udanganye watu eti umetoka navyo uingereza wakati projector zinazagaa kila mahali acha ushamba ww
Nikadhani anadai ushahidi kuna kilichofanyika kikaonekana kumbe maneno ambayo no mazungumzo ya watu ama kweli MFA maji hakosi kutapatapa eeh masari umeishiwa ww na unajua kabisa 2020 haurudi ndio maana unasaka kick zisizo na miguu wala vichwa hiyo imedoda kajipange uje upyaaaaà
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.