Mh. kwa speed hii tutafika kweli 2020?

Rajikumar Ashoka

Senior Member
Jun 3, 2017
150
91
Mh kwa kasi hii hatufiki 2020 mi narudi home mbona tunaisha wote kabla hatujatoboa duuh nasema narudi home.
4d1f1cd698551cc6af75e3ca435223c7.jpg
 
Usjali....wao wanawahamisha kwa hela sie tunawapata wengine bureeeee.....ngoja hela zikiwaisha hata hao walioondoka watarudi na kukuta wengine wengi wapya wameongezeka......

Mapambano yataendelea mpaka Uhuru wa nchi upatikane....

Nyerere alimtoa mkoloni ila sisi tutalitoa hili jinamizi linalokandamiza maisha ya watu nakuwanyonya kisha kuwaacha maskini wakutupwa.
 
IMG_20171202_064725.jpg
 
Back
Top Bottom