wajuzi wa sheria watujuze katika hili la diamond na basata.maana basata wamesema asifanye mziki ndan na nje ya nchi.je itakuwaje kama akifanya hiyo show nje?
hahahaha nimetoka kwenye kikao sasa hv cha nssf kazin hapa.ni balaa na ujinga mkubwaaaaaaaaaaa
...ukiacha kazi mapewa asilimia 10.hiyo pesa nyingine iliobaki unapewa ukifika miaka 60
hahahaha ww bwana saf sana.now days people wamekuwa wakipokea kila jambo kwa namna ya kidini zaidi hasa kuangaliwa mtoa taarifa.this its just a language to portray something..to describe (someone or something) in a particular way
hahahaha baba umenilenga mm yan.nafanya kazi siku zote sina mapumziko mm baba lakin naambulia 320000 yan hapo na overtime.inaniuma sana ila sina namna kuliko kukaa nyumban bora niwe nafanya hapa kuangalia namna gan ntapta pengine.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.