niliona ITV waziri alivyo maliza kusema tu hawaja husishwa, mh raisi alicheka sana. Kwa nilicho tarajia kama Kweli uhakiki huu usinge kuwa biased, basi mh raisi ange ongelea na watu walio kuwa chini ya teuzi zake hatua gani zitachukuliwa. katika swala hili mh raisi ameonyesha upendeleo wa wazi...
Wadau nataka kununua hisa, sina uzoefu sana Zaid ya elimu ninayo ipata kupitia hapa jamii forum, please mwenye uelewa anijuze
-kampuni gani ni zuri kununua hisa kwa sasa
-kwa pesa kama million 5(mfano) ni vzuri kununua hisa sehemu moja au zaidi ya moja
-kuna hatari kufanya manunuzi ya hisa...
Kama umesha wahi kulisikia neno "CONVENTIONAL ACCEPTED" naamini litakuwa lime tumika hapa, maana yake tuna kaa tunakubaliana kitu hiki kiwe hivi na kitakuwa kina maanisha hivi.
ukiwa hauna knowledge ya mada husika kukaa kimya pia sio ujinga comrade, huwezi ukawa na kitengo cha usalama alafu hufatilii nchi za jirani kama hizi zinazo tu zunguka, but issue ya kukamatwa ni issue nyingine. usitegemee majibu ya ki mataamko kwenye issue seriously kama hii my comrade
Nilipo fika jkt ndo nikagundua Maharage siyo nyama, wana roho mbaya sana hawa watu, lakin ukianza kulia na kibano kiki kukolea wao wanaanza kufurai. Sasa ww jifanye nunda huumii, jamaa yangu alivunja mbavu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.