Hapa mnazunguka mbuyuuu wewee ila ukweli unajulikana, kila mwanamke anataka ndoa hata kama ni kwenda kuangalia tu mkato wa chumba na kutoka.
Mwanaume anataka familia ili imuwajibishe, na tena kama umegundua wanauame wengi wako committed in their works kwasababu wanajua wanapaswa kutunza familia...
over weight humfanya mtu mifupa ishindwe kustahimili uzito. Na kwasababu ya kuwa na uzito mkubwa then kinachofuata ni mfupa kushindwa kutengeneza chembe nyekundu za damu, matokeo yake mtu hua na damu pungufu. Hii hutokea kwa baadhi ya watu.
Matokeo yake ni ubongo kushindwa kupata damu ya...
Watu 8 wewee.
Uchokonozi huanza sikio manake ndilo liwashalo, kidole hutumika kukuna panawapowasha.
Hakuna muwasho hakuna kujikuna atiii.
Swali la msingi kati ya sikio na kidole kipi hupata raha?
Naombeni recipe ya chapati nzuri na tamu za kukanda.
Nataka huu uwe mlo wa leo nyumbani kwangu.
Pia ningefurah zaidi kama ukinipatia na mboga gani niitumie kwenye huo mlo. Binafsi nilipanga ziliwe na magarage ya nazi kwa nyama ya kukaanga.
Ijumaa kareem.
Wee unanisema.
Mi mwenyewe nimewapanga lakin kati yao sioni mwenye afadhali. Ikabidi nimuulize msure yeye alipataje?
jibu "mwanangu nakuone huruma kwamba kwa kizazi cha sasa hutokaa upate mke mzuri kama mi nilivo mpata mama yako"
Nimeamua kuwa muonjaji na kusepa, manake sasa hadi msure kaona hilo.
Fella............some dude out there assumes this life is just simple and one can mess up with.
Mie huwa simwelewi ata mshkaji tuu anayekaa kijiwen kila siku kunywa bia na nyama choma af mwaka unaingia unaisha zaid ya uzito alioongezeka hakuna kingine alichokipata. It is a big shame kwa mtu ku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.