Recent content by RAINEL LIHAWA

  1. RAINEL LIHAWA

    Watumishi wa Serikalini jinsi ya kuweka task na sub-task kwenye mfumo wa ess (pepmis)

    KUJAZA TASK NA SUB-TASK. Watumishi wote wanaingilia kwenye mshare WA kwanza kushoto. Then mshare WA kwanza kulia anaingia supervisorkuset performance indicator, tarting date na ending date pamoja na kujaza weight Kwa Kila SUB-TASK Pia ataingilia ku-approve task za watu wake wachini. Kuna...
  2. RAINEL LIHAWA

    Tahadhari kwa watumiaji wa mfumo wa ESS (PEPMIS)

    Habari za majukumu viongozi? Naomba tupeane angalizo hususan kuhusu huu mfumo wa PEPMIS. Kumezuka utapeli mkubwa sana. Watumishi wanapigiwa simu wakitishiwa kuwa mfumo umewatema na hivyo mshahara wa mwezi Januari hawatapata na ili kulitatua hilo wanaombwa fedha. Mwalimu mmojawapo ndani...
  3. RAINEL LIHAWA

    Mfano wa Task na Sub-Task za Mkuu wa Shule kwenye mfumo wa ESS (PEPMIS)

    MFANO WA TASK NA SUBTASK ZAKE KWA WAKUU WA SHULE 1.Kusimamia taaluma na ufundishaji kwa asilimia 100. Subtasks. [emoji736]Kusimamia maandalizi ya lesson plan, scheme of work, logbook,n.k. Kwa mwaka WA MASOMO 2024. [emoji736]Enrolment ya form 1 na 5. Uriport WA kidato Cha kwanza na Cha tano...
  4. RAINEL LIHAWA

    Jinsi ya kutumia mfumo wa utumishi Ess na PEPMIS

    Hakika changamoto itakuwa kibwa
  5. RAINEL LIHAWA

    Jinsi ya kutumia mfumo wa utumishi Ess na PEPMIS

    Bado bado. Pia maeneo mengine hakuna mtandao kabisa
  6. RAINEL LIHAWA

    Jinsi ya kutumia mfumo wa utumishi Ess na PEPMIS

    Hakika mkuu Ukizingatia mitandao yetu Kuna maeneo haisomi kabisa
  7. RAINEL LIHAWA

    Jinsi ya kutumia mfumo wa utumishi Ess na PEPMIS

    Hii ni balaa Kila siku wanatakiwa wawe online
  8. RAINEL LIHAWA

    Jinsi ya kutumia mfumo wa utumishi Ess na PEPMIS

    Upo sahihi mwalimu Hapo sawa
  9. RAINEL LIHAWA

    Jinsi ya kutumia mfumo wa utumishi Ess na PEPMIS

    Hapana mkuu hapo papo simple tuu. Jaza taarifa zako hama chap
Back
Top Bottom