Recent content by Raiamwematz

  1. Raiamwematz

    JamiiForums Tanzania Nyalandu amfukuza Songorwa mbele ya wabunge

    Ni hatari sana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  2. Raiamwematz

    JamiiForums Tanzania Trafiki afa baada ya kukamata daladala

    makubwa hayoooo, wakome kupanda gazi zetu. wanatakiwa wawe na gari zao!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  3. Raiamwematz

    JamiiForums Tanzania Afcon msisimko umepungua

    Hivi kuna mashindano gani huko???
  4. Raiamwematz

    JamiiForums Tanzania TANESCO, Mgao wa Umeme waanza kinyemela?

    Leo umeme umekatika karibu nchi nzima, sijui ndio mgao huo umekuja, ila hakuna taarifa yoyote.
  5. Raiamwematz

    JamiiForums Tanzania Kwanini isiwe Mwanza,Tanga,Iringa n.k?

    wameru hamuwajui kwa utamu??
  6. Raiamwematz

    JamiiForums Tanzania Police ndio wanaoanzisha Vurugu kariakoo.

    Naomba kujua yule aliyekojolea koran huko PEMBA, yuko wapi sasa hivi?? sijasikia watu wakiandamana huko.
  7. Raiamwematz

    JamiiForums Tanzania Prof. Songorwa ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Wanyamapori

    unasema aula maana yake nini?? Ina maana huko ni kwenda kula vya denzo???? Hebu uwe maini na maneno kama hayo, kumbuka mwalimu alishakataa kukimbilia ikulu.........................
  8. Raiamwematz

    JamiiForums Tanzania Waziri Mulugo: Tanzania ilitokana na muungano wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe

    Ulimi uliteleza, bora huyo kuliko wanaohujumu nchi.............
  9. Raiamwematz

    JamiiForums Tanzania Kosa la Mwangosi: Waandishi warudia Makosa

    kalikenye Hata kama walikuwa hajavaa sare, je polisi wamefundishwa kuua?? Mahakama zipo kwa ajili gani??? uwe unaupeo wa mambo unapo andika vitu kama hivi
  10. Raiamwematz

    JamiiForums Tanzania Nani anaweza kukisia huyu ninani?????

    asha baraka huyu..............
  11. Raiamwematz

    JamiiForums Tanzania Kwa mliochaguliwa sua

    Hivi nafanyeje kubadilisha chuo kama TCU wamenichagulia chuo ambacho mimi sijakipenda?? Naombeni msaada maaana nimepata Bagamoyo University, ada yao ni kubwa sana, nataka sasa niweze kuhama.
  12. Raiamwematz

    JamiiForums Tanzania Ajali mbaya: Basi la Mohammed Trans laua na kujeruhi tena

    Ajali zinapunguza wapiga kura wangu 2015
  13. Raiamwematz

    JamiiForums Tanzania Safari za Kikwete zazaa matunda...

    Mineral and gas explorers
  14. Raiamwematz

    JamiiForums Tanzania Leo nimefunga biashara ya mtu ya Magazeti

    acha aibe kwani sisi tunafaidi nini siku zote, kikubwa ni ushindi tu!! ndio raha yetu!!!!!!!!!!!!!!mtajijuuuu
  15. Raiamwematz

    JamiiForums Tanzania Rushwa Bungeni: Kamati ya bunge ya Nishati na Madini yavunjwa

    tupeni majini ya wanakamati jamani
Back
Top Bottom