Recent content by Raiamkweli

  1. R

    JamiiForums Tanzania Kama CCM inataka kushinda uchaguzi kabla ya kupiga kura, Magufuli ndiyo mtu sahihi

    Magufuli naaamini ni raisi pekee mwenye sifa kati ya hawa. Tanzania kuongozwa na hawa wadada ni ngumu Raisi kikwete akitaka ccm ishuke ikose matarajio yapotee wamuweke mwana mama hapa
  2. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina shahada ya Development Studies

    Pole sana hakuna lenye mwanzo bila mwisho Sasa naomba kujua kama unaweza kuja Dar Es salaam kama uko na ndugu au sehemu ya kufikia.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Teachers‘ Junction

    Good Guys Tuliwanmic sana sana tunawakubali na mungu awazidishie sana
  4. R

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa Airtel Tz (Customer Care) wagoma kufanya kazi Leo

    Kinachouma pia hadi Sasa hawajilipa hiyo 400,000/= wamefika 320,000/= mmmhh hawa sio wawekezaji ni wanyonyaji. Tanzanian watch out inaweza kuwa kama south Africa
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Literature na Kiswahili natafuta kazi

    Hawa jamaa wa Teachers Junction wako real hawakutapeli jiamini tuu cha msingi uwwe na uwezo maana wanakupa shule tatu ukifell kwaheri
  6. R

    JamiiForums Tanzania Anatafuta kazi ya ualimu

    0753810857
  7. R

    JamiiForums Tanzania Anatafuta kazi ya ualimu

    Call teachers junction 0753810857
  8. R

    JamiiForums Tanzania Anatafuta Kazi, Secretary

    Kuna sehemu wanatafuta kwa ajili ya stationery Kama vipi ni pm
  9. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta NGO ya kuvolunteer

    Pole sana MDOGO wangu nae alisota mwaka Jana Hebu wacheki teachers junction wanaweza kukuruhusu kufanya kwao au kukupa muelekeo 0753810857
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Literature na Kiswahili natafuta kazi

    No manumbu these guys teachers' junction wako real jamaa wakovserious kama hawana post wanakwambia ukweli HAWA sio matapeli Mimi wamenipa shule mpaka Sasa Niko kongowe kwa wakorea napiga kazi kwa ajili yao
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kunani kazi za zoomtanzania?

    Ahsanteni kwa elimu
  12. R

    JamiiForums Tanzania Je! Ni kweli kwamba jeshi la polisi limeruhusu mihadhara pale Manzese?

    Hizi dini tumeletewa kama mapokeo tu hakuna sababu ya kulumbana hata hivyo wengi wanaobishana hawajui misingi ya dini. Hivi umeshawahi kusikia viongozi wa juu wa dini wanaropokeana maneno ya sini na dhihaka? Kila mmoja asome kitabu chake kisha asome cha mwenzake abaki na ukweli wake ANYAJAZE...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kukutana na Mtanzania very Intelligent!

    Tatizo lako unaamini wenye makampuni na managers ndio unaweza kumpata. So ulikuwa unamtafuta at the wrong place. Mimi nimewahi kukutana na Mr.NJAMA kutoka Teachers Junction wengi humu wanamjua jamaa yuko vizurikimawazo na mitizamo mtafute siku mioja pia nashauri media zingeweza kumtumia...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua namna ya kupata luku.

    Nahitaji kupata luku binafsi so mwenye kujua means. Please ani pm niko magomeni Dar Es salaam
  15. R

    JamiiForums Tanzania Kazi ya kufundisha Economics kwa shule za A-Level

    Sijasahau kurejesha tumekwenda Leo mbagala tumefanya oral interview na tutaenda tena kufanya class interview. But sasa ndio naamini humu jamvini kuna watu wanakatisha tamaa maana Mr.NJAMA unazungumziwa tofouti. Mmmhh sijui kama anaweza kicheza deal na wakuu wa shule directors tena sio...
Back
Top Bottom