Recent content by rahimladha

  1. rahimladha

    JamiiForums Tanzania Nahitaji laini za Airtel Money, M-Pesa na Tigopesa

    Inbox mm tuongee
  2. rahimladha

    JamiiForums Tanzania Nahitaji laini za Airtel Money, M-Pesa na Tigopesa

    Tigo pesa nipe laki 5 ninayo mpya haijaanza kazi
  3. rahimladha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitaki kuolewa

    olewa upate heshima uitwe mke wa fulani au mama fulani ...hata uwe na gorofa kumi kariakoo utaitwa yule mwanamke ...
  4. rahimladha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimepata mchepuko usio na gharama

    mchepuko huo ni mzuri ila kuwa na moyo ukiwaona wenzio
  5. rahimladha

    JamiiForums Tanzania Pilipili ina madhara yoyote mwilini?

    vidonda vya tumbo
  6. rahimladha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Password!Kwa nini?

    kwani mtu kutafuta password anatafuta nn?kama humuamini yanini uhusiano huo.kuna mambo hata mama mzazi hapaswi kufahamu ukiwa mwanaume unakufa nayo
  7. rahimladha

    JamiiForums Tanzania Otango Osale ni nani huyu mtu?

    Wote inasemekana walikufa lakini hawakushikwa ndio maelezo yakiyokuwepo tulipokuwa wadogo miaka ya 90 tuliyopewa kule
  8. rahimladha

    JamiiForums Tanzania Otango Osale ni nani huyu mtu?

    Ukipata wasaa nenda mapango ya Amboni utapata unachohitaji. Kiingilio ni 500 tu
  9. rahimladha

    JamiiForums Tanzania Ninauza shamba ekari mbili na nusu lililoko Kimbiji Kwa Morisi-DSM kwa MILIONI KUMI

    nimekutumia ujumbe pls reply
  10. rahimladha

    JamiiForums Tanzania Msaada Please! namna ya kuwaondoa ngedere nyumbani kwangu

    kamata mmoja mfunge kengele kwenye kiuno ikilia wenzie watakuwa wanamkimbia na yeye atakuwa anawafuata
  11. rahimladha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Why wanapenda maongezi ya simu?

    mbona hiyo tamu sana na bahati kubwa ...angalia usije ukatuma vourcher ww akapigiwa mwengine
  12. rahimladha

    JamiiForums Tanzania Kiwanda kidogo cha kusaga nafaka naweza kukipata wapi?

    ninazo mashine za kusaga na kukoboa afungue mwenyewe kiwanda.for sale
  13. rahimladha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usemi wa leo. Ongezea na semi zako

    kaniki hata uifue vipi haiwi nyeupe
  14. rahimladha

    JamiiForums Tanzania Bei nafuu tu... Quick business

    docs zote unazo i.e importation docs,duty receipt na zote zinazotakikana?
  15. rahimladha

    JamiiForums Tanzania Bei nafuu tu... Quick business

    ok nitakupigia tuongee vzr
Back
Top Bottom