Recent content by Ragna

  1. R

    Historia ya kisiwa cha Mafia

    Kwel kabisa hadi mombasa....lamu...malindi...mafia zote ilikua ni torritories za zanzibar lakin kutokana na colonial rule wakati wa wakolon kukabizi uhuru sultan wakat ule alitoa visiwa baadhi kenya na Tanganyika kwa wajerumani na sheria ilikua inatambua makoloni yalikabiziwa kwa wazawa ni...
  2. R

    Historia ya kisiwa cha Mafia

    Tunatamani kuja mafia tatizo hotel za huko zina gharama kubwa araf azipo nying kama kule pemba
  3. R

    Hoja za Muungano: Biashara, Kilimo na Uvuvi ni jambo la Muungano?

    Muungano wetu una mapungufu mengi sana na yote inatokana Tanganyika hakuna autonomous region kama kule Zanzibar ambayo ni serikali ya SMZ kwaio tume generalized Tanganyika ni Tanzania kwaio mzanzibar anapata advantage ya kupata kila kitu ambavyo hata vile ambavyo sio vya muungano Hii litaisha...
  4. R

    Jipatie Qsat Q23G HD satellite FTA receiver

    Free to Air...FTA napata discovery scinece....travel channel cuz mimi ni mpenz wa documentary
  5. R

    King'amuzi gani bora?

    mkuu icho tunakipatahr mimi shida channel za nje tu na dish la ft 3 ni kama la azam au dstv
  6. R

    Onsat on3 fta receiver zinauzwa

    naweza kutumia ungo wa DStv
  7. R

    Jipatie Qsat Q23G HD satellite FTA receiver

    sijaelewa natakia kulipa 75000/= kila baada ya miezi mitatu
  8. R

    Naombeni msaada wa kisheria kuhusu mikataba

    Habari wakuu. Poleni na majukumu. Kuna rafiki yangu ametumika kama mzamini wa mtu fulani ambae alikopa kwenye hizi Microfinance Institute na huyo aliyekopa amekimbia, sasa burden ya kulipa deni imemwangukia mzamini. Lakini mimi kama mimi nimejaribu kupitia huo mkataba wa yule jamaa aliekopa...
  9. R

    Vituko na vioja vya wadada wa benki

    Kuna dada ofisi moja ya serikali sikupendezwa na huduma yake nikamchana akawa ana nipandishia tukawa tunabishana mwisho akasema kama una malalamiko twende kwa bosi nikasema twende....kumbe wanafanya kazi na polisi akanipeleka kwa polisi wa ile ofisi akajua nitawatetemekea wale polisi nao tukawa...
  10. R

    Wale watu wanaouza gb30 ni kweli au matapeli.

    Nimepata ufafanuzi kutoka customer care ni matapeli tu
  11. R

    Wale watu wanaouza gb30 ni kweli au matapeli.

    Ndomana nmekuja kuwauliza watalam wa mambo
  12. R

    Wale watu wanaouza gb30 ni kweli au matapeli.

    Mafanikio ya mtu ayapimwi kuwa mara ngapi amevunja sheria
  13. R

    Wale watu wanaouza gb30 ni kweli au matapeli.

    Simanishi kuwa nafuata sheria lazima ujue upande wa pili wa sarafu nikikosea apa adhabu yake ni hipi hili badae usije mlaumu mtu kwama sikujui
  14. R

    Wale watu wanaouza gb30 ni kweli au matapeli.

    Mkuu mimi nimeuliza hili niweze kupatiwa ufafanuzi.
Back
Top Bottom