Bado ni jambo linaloniumiza kichwa nikitafakari kwa kina ,,,, ukweli ni kwamba tanzania iliyo hai haiwezekani bila kuwa na elimu bora ni wazi ya kwamba inagharimu pesa nyingi ili kufanikisha watanzani wanapata elimu mathubuti,,,,,, na niwazi kuwa watanzania walio wengi ni watu wenye...