Je ni haki chadema kushika dola | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je ni haki chadema kushika dola

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by rafiki2010, Oct 7, 2010.

 1. r

  rafiki2010 Member

  #1
  Oct 7, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli nimeamini HATAMU IKISHIKWA PUNDA SHARTI LAZIMA AENDE ,,,,WANANCHI wenzangu mnadanganyi kwa maneno ivi hamji kuwa hao mnaowapigania ni mafisadi zaidi jinsi mnavyofikiri ki ukweli CHADEMA si chama cha wananchi ni cha kwa ajili ya mataba ya makabila ya watu fulani ,, ni jambo la wazi kuwa hata majina ya wabumbe wao wa viti maalum waliowapendekeza awamu hii ni watu kutoka kaskazini ya moshi na arusha ila uchaguzi uliofanyika ndani ya chama umewatengua na kuwapakipaumbele watu wanao wahitaji kikubwa ch akuduwaza kama sio kushangaza mpaka sasa hawajawatangaza watu viongozi waliochaguliwa na wanachama wao hii inaonyesha wazi kuwa matokeo wameyabatilisha na kuna watu wao wanaowahitaji kushika nyazifa.. hiii sii democrasia ya kweli ndani ya chama kidogo kama chadema je swali ni kwamba wataweza vipi kuongoza nchi kubwa kama tanzania yenye kuhitaji umakini wa kutosha ilikufanikisha malendeleo ya watanzania iwapo wanaonyesha dhahiri kushindwa kuimalisha democrasia ndani ya chama chao huu si ndio mwanzo wa kuleta ukabila ndani ya nchi na kuifanya nchi iwe kwa ajili ya manufaa ya watu wachache ,,

  KUWA MAKINI HESHIMU KURA YAKO KWA MANUFAA YA TAIFA LETU KWA UJEMLA
   
 2. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  flooding alert
   
 3. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Crap
   
Loading...