Je ni haki chadema kushika dola | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je ni haki chadema kushika dola

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by rafiki2010, Oct 7, 2010.

 1. r

  rafiki2010 Member

  #1
  Oct 7, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli nimeamini HATAMU IKISHIKWA PUNDA SHARTI LAZIMA AENDE ,,,,WANANCHI wenzangu mnadanganyi kwa maneno ivi hamji kuwa hao mnaowapigania ni mafisadi zaidi jinsi mnavyofikiri ki ukweli CHADEMA si chama cha wananchi ni cha kwa ajili ya mataba ya makabila ya watu fulani ,, ni jambo la wazi kuwa hata majina ya wabumbe wao wa viti maalum waliowapendekeza awamu hii ni watu kutoka kaskazini ya moshi na arusha ila uchaguzi uliofanyika ndani ya chama umewatengua na kuwapakipaumbele watu wanao wahitaji kikubwa ch akuduwaza kama sio kushangaza mpaka sasa hawajawatangaza watu viongozi waliochaguliwa na wanachama wao hii inaonyesha wazi kuwa matokeo wameyabatilisha na kuna watu wao wanaowahitaji kushika nyazifa.. hiii sii democrasia ya kweli ndani ya chama kidogo kama chadema je swali ni kwamba wataweza vipi kuongoza nchi kubwa kama tanzania yenye kuhitaji umakini wa kutosha ilikufanikisha malendeleo ya watanzania iwapo wanaonyesha dhahiri kushindwa kuimalisha democrasia ndani ya chama chao huu si ndio mwanzo wa kuleta ukabila ndani ya nchi na kuifanya nchi iwe kwa ajili ya manufaa ya watu wachache ,,

  KUWA MAKINI HESHIMU KURA YAKO KWA MANUFAA YA TAIFA LETU KWA UJEMLA
   
 2. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Wakati huo huo, serikali isiyokuwa ya kikabila ya ccm imeleta maendeleo kwa watanzania:

  [​IMG]
   
 3. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Huyu anahitaji tiba toka kwa wachaga wa moshi:

  [​IMG]
   
 4. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  maji ya wachaga wa kilimanjaro:

  [​IMG]
   
 5. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #5
  Oct 7, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Huyu mtoto ni mchaga.... wala usidanganywe na yeyote yule:

  [​IMG]
   
 6. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #6
  Oct 7, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  hawa watoto wa marangu lazima wataipigia kura chadema:

  [​IMG]
   
 7. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #7
  Oct 7, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Hawa wamekaa kimachame machame vile:

  [​IMG]
   
 8. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #8
  Oct 7, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Wakati huo huo, mama kikwete (huyu atakuwa mchaga tu) anatumia milioni 25 kwa masaa 5 kusafiri na hii ndege:

  [​IMG]
   
 9. MKANDYA

  MKANDYA Senior Member

  #9
  Oct 7, 2010
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Huu siku zote huwa ni wimbo wa ccm; kupakazia ukabila au udini kwa vyama vya upizani. Tukumbuke hata kipindi cha umaarufu wa Mrema walisema ni chama cha wachagga; CUF chama cha waislamu,CHADEMA walisema cha wakristo sasa wimbo huo umegeuka kuwa chama cha Moshi na Arusha; huko ni kuishiwa; hakuna chama chochote duniani ambacho huanza kikiwa kikubwa, chama kinaposhika madaraka ndipo kinapopata ukubwa zaidi. CCM ilivilisi TANU na ASP ambavyo vyote hadi leo vingekuwa na umri wa miaka 56 TANU na 53 ASP. Watanzania tupo zaidi ya milioni 40; lakini hadi leo wanachama halali wa CCM hawafiki milioni 5. hii ni kuonyesha CCM haikuwi kwa kiwango kikubwa. Watu wanadanganywa waamini kuwa ccm ni chama kikubwa. CHADEMA wana umri usiozidi miaka 18 lakini wana wanachama takribani zaidi ya milioni 2. Tukienda kimahesabu CHADEMA wanaendelea kukua haraka kuliko ccm.Udini na Ukabila huu ni wimbo wenu ccm. Haupo kwenye vyama zinavyotaka kuleta maendeleo na ustawi sahihi kwa WATANZANIA;--MUNGU IBARIKI TANZANIA NA UINUSURU KUTOKA KWENYE MAKUCHA YA MABWANYENYE WA ccm.
   
 10. i

  ilboru1995 JF-Expert Member

  #10
  Oct 7, 2010
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,331
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Rudi shule ndugu yangu .... hueleweki, hujielewi .... udini, ukabila, fitna vyote vinaletwa na CHAMA CHA MAFISADI (CCM) ... Bahati mbaya sana vyote vinawarudia kwa kasi ya kutisha...mwenyezi mungu ataendela kuwadhalilisha enyi mafisadi hapa duniani na kesho akhera kwa dhulma mlio tufanyia watanzania...
   
 11. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #11
  Oct 7, 2010
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  uongo mwingine!! Kama chadema mko milioni 2 mbona uchaguzi uliopita mbowe alipata kura chini ya laki 6!!! Na uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka jana chadema walipata chini ya asilimia 1 ya kura zote zilizopigwa!! Sasa unataka kumdanganya nani hapa!! Nenda kawadanganye wachaga na wambulu!!!

  Watanzania hawadanganyiki!!!
   
 12. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #12
  Oct 8, 2010
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  rafiki2010

  Usashiba..utawakumbuka hawa.?
   
 13. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #13
  Oct 8, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Kajifunze kiswahili vizuri kwanza ndo uje huku na ccm yako!!
   
Loading...