Sasa mboreshe tuu uwajibikaji wenu kama wazungu,mfano kitengo chs ratiba za vipindi wanajisahau sana kuhabarisha vipindi mbalimbali AZAM Two,Haule Tanga
Fisadi mkuu ni Mkuu ndio maana Lowasa alishindwa kumkamata kama Waziri Mkuu na akaresign/jiuzulu
Wana Ukumbi,
Katika hali ambayo imewaacha wengi midomo wazi na baadhi kubaki kukuna vichwa. Ni baada ya kugundua kuwa CHADEMA kwa sasa hali ni tete na inasemekana wamekosa kabisa mgombea atakae...
Hayo ni maandamano ya ukoo wake na yakununua vichwa why not in mbeya...iringa...mwanza....songea.....arusha.....ubungo.kama zitto ni mzito kwa watanzania
Chama makini kwakupora mapesa na mali kuweka uswisi,chama makini kung'oa watu meno?leo watumishi ukitaka kijiendeleza kielimu hupatiwi mkopo tena nasema ni mkopo sio kusomeshwa na serikali kama mlivyosomeshwa eti watu makini...........
Uzuri wao si wenye tamaa kama mafisadi wanaolindwa na CCM...CCM mmejaa tamaaa kila pesa
ni chama kwanza na matumbo yao tuuuu si wafanyakazi wala wakulima tena
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.