Kanda ya ziwa lazima itoe rais 2015

Kanda ya ziwa lazima itoe rais 2015

Mada ya kipuuzi kbs hii. Hatuchagui rais kwa misingi ya ukabila, ukanda, udini wala rangi yake. Tunachagua mtanzania yeyote mzalendo,asiye na ubaguzi na mpenda haki na usawa.

Maneno ya busara haya japo yametoka choo cha jirani.

hongera kwa kujitambua maana unaongoza kuhubiribi ukanda na ukabila humu
 
Tumechoka kupuuzwa,tumechoka kunyonywa ndani ya nchi hii. Mwaka 2015 by any means lazima rais atoke kanda ya ziwa atakayesimamia raslimali zetu kwa mustakabali wa watu wetu wanaokumbwa na umaskini wa kutisha huku utajiri wa kutisha ukiwazunguka. Tuamke na tuache kufuata mkumbo kwa mambo yasiyo na tija kwetu

Kambarage alitoka wapi kama sio kanda ya ziwa?
 
PILITON: nani unadhan anafaa kuwa rais kutoka kanda ya ziwa? umetumwa wewe si bure!
 
Tumechoka kupuuzwa,tumechoka kunyonywa ndani ya nchi hii. Mwaka 2015 by any means lazima rais atoke kanda ya ziwa atakayesimamia raslimali zetu kwa mustakabali wa watu wetu wanaokumbwa na umaskini wa kutisha huku utajiri wa kutisha ukiwazunguka. Tuamke na tuache kufuata mkumbo kwa mambo yasiyo na tija kwetu

Kanda ya ziwa bado sana kwanza watu wa kanda ya ziwa hampendani wala kuaminiana.
 
Shibuda anawafaa.
 
Kambarage alitoka wapi kama sio kanda ya ziwa?

Ni kweli alitokea kanda ya ziwa ila hakuwa na upendeleo kwa mikoa kadhaa bali alitaka nchi nzima inufaike na rasilimali za taifa,ona viongozi wa leo aibu tupu
 
Tumechoka kupuuzwa,tumechoka kunyonywa ndani ya nchi hii. Mwaka 2015 by any means lazima rais atoke kanda ya ziwa atakayesimamia raslimali zetu kwa mustakabali wa watu wetu wanaokumbwa na umaskini wa kutisha huku utajiri wa kutisha ukiwazunguka. Tuamke na tuache kufuata mkumbo kwa mambo yasiyo na tija kwetu
Nishasema hili mara kadhaa, nakubaliana na maoni yako lakini upande wangu sijaona mtu wa kumpa urais toka kanda hii. Namuunga mkono Lowassa lakini wabunge tungewapa wapinzani maana haya mabunge toka chama changu karibia yote isipokuwa Kagi Lugola na James Lembeli mengine yapoyapo tu kama m a t a k o.
 
Kanda ya ziwa bado sana kwanza watu wa kanda ya ziwa hampendani wala kuaminiana.
Acha uongo kamanda,kama ni upendo kabila zote Tz zinaiga huku kanda ya ziwa hata dada zenu wanapokumbana na akina ngonsha,wanajiachi aaaaa mpaka tunasema basi natosha lolo mayo.
 
Ni kweli alitokea kanda ya ziwa ila hakuwa na upendeleo kwa mikoa kadhaa bali alitaka nchi nzima inufaike na rasilimali za taifa,ona viongozi wa leo aibu tupu
Kama alitokea huko ziwani sasa ni zamu ya watu wa mikoa mingine nao waonje urais
 
Mada ya kipuuzi kbs hii. Hatuchagui rais kwa misingi ya ukabila, ukanda, udini wala rangi yake. Tunachagua mtanzania yeyote mzalendo,asiye na ubaguzi na mpenda haki na usawa.

Na Rais mwenye sifa hizo ni Dr Slaa.
 
Tumechoka kupuuzwa,tumechoka kunyonywa ndani ya nchi hii. Mwaka 2015 by any means lazima rais atoke kanda ya ziwa atakayesimamia raslimali zetu kwa mustakabali wa watu wetu wanaokumbwa na umaskini wa kutisha huku utajiri wa kutisha ukiwazunguka. Tuamke na tuache kufuata mkumbo kwa mambo yasiyo na tija kwetu

Huu muandiko kama wa x-waziri mmoja te te tee
 
Kwan tunachagua rais kwa sababu anatoka upande fulan? rais anatoka sehemu yoyote tz awe na sifa zinazokubalika \zilizoainishwa kwny katba
 
Tumechoka kupuuzwa,tumechoka kunyonywa ndani ya nchi hii. Mwaka 2015 by any means lazima rais atoke kanda ya ziwa atakayesimamia raslimali zetu kwa mustakabali wa watu wetu wanaokumbwa na umaskini wa kutisha huku utajiri wa kutisha ukiwazunguka. Tuamke na tuache kufuata mkumbo kwa mambo yasiyo na tija kwetu
Na sisi Kigoma lazima tutoe rais mwaka 2015 na pia Arusha wanatakiwa watoe rais mwaka 2015 kwa kuwa wamekuwa wakitoa mawaziri wakuu tu.Pia nadhani ni zamu ya Zanzibar
 
Na sisi Pemba lazima tutoe Rais 2015.

Kwa mwendo huu, taifa sasa liko kwenye giza totoro. Ubaguzi wa kila namna saa hizi unapandikizwa kwa ari na kasi zaidi.
Eehe Mungu utuponye
 
Back
Top Bottom