Sio mara moja au mbili bali ni mara kadhaa ninapo sikiliza taarifa au kuangalia runinga kwa ajili ya kupata habari huwa ninawasikia watangazaji wanatamka kwa mfano ...katika ajali hiyo abiria X wameweza kupoteza maisha yao... au katika shambulio hilo ....wanawake na watoto waliweza kupoteza...
Ni jana tu time za saa sita kasoro nilikuwa ninatumia modema iliyokuwa imeungwa na kifurushi cha 400 Mb, the speed wasn't bad kama inavyozungumza, au nimezoea ukonokono nikiona kinyonga naona kama formular one!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.