Bara la Afrika lina kila kitu kuanzia ardhi kubwa yenye rutuba, maziwa makubwa, mito, madini, mazao na mbuga za wanyama. Vilevile bara la Afrika ni la pili kwa ukubwa na inasemekana binadamu wa kwanza aliishi Afrika.
Ingawaje Afrika inaongoza kwa kupewa misaada lakini ni bara linaloshika...