Recent content by Radiation

  1. Radiation

    JamiiForums Tanzania Charles Mhando Njama: Safari ya Mwanamapinduzi Aliyetwaa Tiketi ya Ubunge wa Korogwe Mjini 2025 kupitia CCM

    Ni wakati wa vijana wazawa wenye uchungu na kwao kushika hatamu kwenye uwakilishi wa majimbo yao
  2. Radiation

    JamiiForums Tanzania Charles Mhando Njama: Safari ya Mwanamapinduzi Aliyetwaa Tiketi ya Ubunge wa Korogwe Mjini 2025 kupitia CCM

    Korogwe Mjini, 4 Agosti 2025 Katika siku iliyojaa hamasa, matumaini, na shangwe, jina la Charles Mhando Njama limeandikwa upya kwenye historia ya siasa ya Korogwe Mjini. Wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamempatia ushindi wa kishindo katika kura za maoni akiwaacha mbali sana wapinzani...
  3. Radiation

    JamiiForums Tanzania Wakati tukidanganywa kuwa Maambukizi ya 'VVU' yamepungua nchini, UN yasema sasa Maambukizi ya VVU ni Makubwa mno duniani

    Nadhani ungekuja na takwimu halisi juu ya ongezeko hilo unalolisema, hoja yako ingekua na mashiko zaidi, kuliko haya maneno matupu ambayo yanaonekana kama proganda tu.
  4. Radiation

    JamiiForums Tanzania Nina bahati mno ya kupendwa na akina dada wa Kichagga

    imekua ikinitokea sana hii pia, mahusiano yangu mengi imekua na wapare na wachaga😅😅 hii inatokea mkoa wowote nnapokua kwa Dar ndo nikijaribu tu kupiga voko mwisho wa siku nakuta ni mchaga au mpare
  5. Radiation

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

  6. Radiation

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

  7. Radiation

    JamiiForums Tanzania Je, kuna somo ambalo hutakuja kulisahau kwa jinsi lilivyokutoa jasho?

    Biochemistry na hii Pathology hivi vitu vilinitesa sana
  8. Radiation

    JamiiForums Tanzania Unazikumbuka Movie Za Mabroo...?

    au ziliitwa "Blue"
  9. Radiation

    JamiiForums Tanzania La Casa

    Lets cook
  10. Radiation

    JamiiForums Tanzania Maneno ambayo "wamama" wa kiswahili hupenda kuwaambia watoto wao

    "hii mitoto itaniua na pressure"
  11. Radiation

    JamiiForums Tanzania Maneno yanayotamkwa sana 2020

    Mabeberu
  12. Radiation

    JamiiForums Tanzania Maneno ambayo "wamama" wa kiswahili hupenda kuwaambia watoto wao

    "Ofisa naona ndo unaamka saa hizi"
  13. Radiation

    JamiiForums Tanzania Maneno ambayo "wamama" wa kiswahili hupenda kuwaambia watoto wao

    Mama zetu wakati tunakua kuna maneno ambayo wanapenda sana kuyasema kwa watoto haswa watoto wakikosea kitu.
Back
Top Bottom