Unazikumbuka Movie Za Mabroo...?

MzaramoTz

JF-Expert Member
Dec 13, 2017
1,829
2,986
IMG-20200516-WA0039.jpg
 
Nakumbuka nilimtembelea ndugu yangu fulani, Tumekaa sebuleni mtoto kaenda kuleta TV kutoka chumbani kwa wazazi ( kumbuka vile vimeza vya matairi). Kumbe kwenye deki kuna mkanda bwana dogo si ka PLAY kujua ni mkanda gani aurudishe kwenye kasha lake :eek::eek::eek::eek:
 
Hahahahahah na washua wake walikuwepo hapo hapo au...?
 
mimi nakumbuka tuko wanne sebuleni mimi,sister mkubwa,bro mwenye mkanda na dada mwingine mgeni wanasukana.ghafla chanel zikakata ilikuwa ni zile za cable ya kulipia,kwahiyo inabidi tuweke mkanda.

mimi ndio engeneer nikanyanyuka na kushika caseti moja lilikuwa juu ya deki,kwanza lilikuwa limejaa kinoma mpaka halimalizi kitairi upande mmoja,kumbe limeungwa mara mbili.

nataka kuweka bro karudi,oya dogo hilo casete bovu achana nalo,mimi nakataa acha tujue ni casete la picha gani,nataka kuweka akanimind na kunipora nikashangaa sana,baada ya miezi kadhaa nalikuta kwenye tranka lake nikachukua na kwenda kulitest,aisee.nikabidi nifunge milango kwanza ili nijilipue bila wasi wasi.hii ni maiaka 17 iliyopita jaman.
 
Nmecheka saaanaa dah we baharia ww!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ma Broo tunawachora tu. Ila nyie watoto wa 1990s mlikuwa na tabu sana ya kutaka kujua vitu vya ma Broo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom