Recent content by RAD

  1. RAD

    House4Rent Ofisi inakodishwa Kijitonyama

    Ofic ina choo mkuu.
  2. RAD

    Tetesi - Jamie Vardy kuhamia Arsenal.

    Hamna kaka hawaja kurupuka mpaka wanachukua maamuzi wameangalia mbali. Tatizo kuna vitu sisi kama washabiki tuna angalia na mchezaji na wakala wake wana angalia so they decide what is best for them.
  3. RAD

    Tetesi - Jamie Vardy kuhamia Arsenal.

    Kweli kabisa this is your take sio ya Jamie Vardy au wakala wake ambao naamini hawajakurupuka
  4. RAD

    Wanafunzi wa chuo Kenya waunda vifaa na kuuza China

    Its true chief, Pia utawala bora wenye viongozi wenye utashi wamaendeleo ya nchi na wananchi kwa ujumla sio kujiangalia wao kwanza na familia zao.
  5. RAD

    Wanafunzi wa chuo Kenya waunda vifaa na kuuza China

    Kila kitu tuna cho na vyote hivi vilikua vinafanya kazi miaka mingi ilio pita. Vingi vime telekezwa na texhnilogia imebadikika kiasi kikubwa. Tatizo letu ni utashi wa viongozi kwajili ya kulisimamia hili swala na ndio kinacho tuangusha JPM ana nia jema kabisa ya kulitekeleza swala je vyuo vyetu...
  6. RAD

    Wanafunzi wa chuo Kenya waunda vifaa na kuuza China

    Ni hatua lakini, Itafika hapo unaposema kuwa hawawezi kuwa wezesha na izo equipment s na Labs. Spendi kuamini kuwa it is impossible kama unavyo sema kila kitu kina wezekana hata china walianza hivyo.
  7. RAD

    Wanafunzi wa chuo Kenya waunda vifaa na kuuza China

    Mungu atu saidie sana sija wahi kujua tatizo kati ya kenya na Tanzania especially pale wanapo jikuta wanachangia kitu cha maendeleo kilicho fanywa na moja kati ya nchi hizi. Sio challenge bali niku kashifiana tu hakuna ambae anaweza akajaribu kupongeza na kufanya mjadala kuwa wenye tuja ambao...
  8. RAD

    House4Rent Ofisi inakodishwa Kijitonyama

    Karibu na shule ya primary kijitonyama. Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
  9. RAD

    House4Rent Ofisi inakodishwa Kijitonyama

    Kwa yule anayehitaji ofisi Kijitonyama. Ina hali nzuri na kiyoyozi inakodishwa kwa bei nafuu. Kwa maelezo zaidi Nitafute kwa namba hii 0719040659.
  10. RAD

    Ushauri juu ya hii website ya movie niliyoitengeneza

    Hongera sana. Wazo lako zuri sanaa Naamini utafika mbali. Ila pia ninge kushauri upate mawazo ya kisheria kuhusiana na kazi za watu usije kuingia matatani. Kazi nyingi hapo zina copyright na kuwa online its means your globaly watched.
  11. RAD

    Anachofanya Waziri Mkuu sio sawa, sio haki, sio Good Governance! Ni udhalilishaji na kuaibishana!

    Pasco. Good governancy ni kuwa mnafki kama una taarifa ya ulicho kifanya kwanini una shindwa kuelezea. Au mlizoea mfumo wa kuundiwa tume kila kajambo kadogo kanako tokea. Na ripoti zina somwa kimya kimya ishu inaishia jukwa juu.
  12. RAD

    Natafuta software ya Nokia(Nokia Pc Suit)

    Naomba msaada kwa yeyote anae weza kunipa link ya ku download Nokia Pc suit
  13. RAD

    Tunakodisha Tv za kisasa Inch 55

    AR Production ina kodisha TV za kisasa Inch 55 kwa ajili ya Sherehe kama vile Harusi, vikao na mikutano mbalimbali. Kwa maelezo zaidi wasiliana nami kupitia namba 0719040659
  14. RAD

    Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    MAthematicia asante sana kwa ushauri ulio utoa kwa uyo kijana umefanya jambo la msingi sana naamini sote tutakua tumefaidika na hiko wazo mimi pia ni mija wa vijana wenye mtaji usio pungua million 4 lakini nimeshindwa ni aina gani ya biashara naweza kufanya ika nipa turn over ya uhakika na ikawa...
  15. RAD

    Gutuka: Umbua watutsi waliopenyezwa sekta mbalimbali kwa faida ya Tanzania

    namini kuna watu wameumbwa kuwa na asiki ya kueneza chuki ili kuifanya dunia kuwa sehemu ilio laaniwa. badala ya kufikiri vitu vya msingi vinavyo weza kutujenga katika misingi ya amani na upendo mnanzisha chuki baina ya jamii flani. hakika yule adui mkubwa ujinga atatumaliza.uhalali wa mtu kuwa...
Back
Top Bottom