Tetesi - Jamie Vardy kuhamia Arsenal.

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
127,927
244,497
Vyombo mbalimbali vya habari vya ulaya vimeripoti leo hii.

" Jamie Vardy is widely reported to be the subject of a bid from Arsenal that meets A BUY OUT CLAUSE in the extended deal he penned in february "

MyTake - huu utakuwa uhamisho wa kijinga sana kuwahi kufanyika England , unatokaje kwenye timu nzuri na kuhamia timu mbovu kama Arsenal ?
 
Arsenal si timu mbaya, ila tuu huwa hawachukui makombe

Kwa hyo unaeza uka bet arsenal kuwa juu ya leceister mwakani, kuliko leceister kurudia walcho fanya this yr, so kahamia sehem sawa tuu

Arsenal, Walikuwa wanahitaji mshambuliaji, lakini sidhani kama Vardy ndiye mshambuliaji walo kuwa waki muhitaji
 
Ukubwa wa timu si kama wa binadamu , kwamba aliyezaliwa zamani au kikongwe mwenye mvi ndio mkubwa , timu kubwa ni ile inayoshinda makombe mbalimbali , Arsenal ni timu mbovu .
 
Kutoshinda kombe si ubovu, dortmund hawajshinda kombe llte miaka 2 mfululizo yat hatuwez kusema ni wabovu

Nadhani ubovu ni zaid ya makombe, na ukumbuke Arsenal ni makamo bingwa wa EPL
 
chaguo zuri, kwa leister kuingia top4 msimu ujao ni ndoto lakini kwa arsenal inawezekana, na hiyo ndo platform ambayo wachezaji wengi wanaitaka
 
Vyombo mbalimbali vya habari vya ulaya vimeripoti leo hii.

" Jamie Vardy is widely reported to be the subject of a bid from Arsenal that meets A BUY OUT CLAUSE in the extended deal he penned in february "

MyTake - huu utakuwa uhamisho wa kijinga sana kuwahi kufanyika England , unatokaje kwenye timu nzuri na kuhamia timu mbovu kama Arsenal ?
mwakani wanashuka daraja ndo mana kaja kwenye timu ya uhakika
 
Ww mtoa mada utakuwa umevurugwa utaitaje timu yetu mbovu aisee
Tuachie Arsenal yetu
 
Ukubwa wa timu si kama wa binadamu , kwamba aliyezaliwa zamani au kikongwe mwenye mvi ndio mkubwa , timu kubwa ni ile inayoshinda makombe mbalimbali , Arsenal ni timu mbovu .
Kama kigezo ni makombe basi timu bora ni liver, Man U Na Arsenal!
Hizo nyingine haziwafikii hao kwa idadi ya makombe!!
Unanishangaza mkuu kwa analysis yako kwamba Arsenal ni timu mbovu???
Timu ambayo kwa miaka 17 mfululizo haijawahi kushindwa kufuzu Champions league!! Uko serious kweli wewe??
 
Hebu fafanua kidogo .
kwanza leister kwenye uefa mwakani hawatofika popote tofauti na arsenal ambao wanafikaga angalau robo, kisha mwakani leister top four wataisikia kwenye bomba, wacha akapambane kijana ni kweli arsenal timu haipati vikombe lakini inacheza mashindano mengi kitu ambacho ni kizuri kwa mchezaji
 
Vyombo mbalimbali vya habari vya ulaya vimeripoti leo hii.

" Jamie Vardy is widely reported to be the subject of a bid from Arsenal that meets A BUY OUT CLAUSE in the extended deal he penned in february "

MyTake - huu utakuwa uhamisho wa kijinga sana kuwahi kufanyika England , unatokaje kwenye timu nzuri na kuhamia timu mbovu kama Arsenal ?
Kweli kabisa this is your take sio ya Jamie Vardy au wakala wake ambao naamini hawajakurupuka
 
Kama kigezo ni makombe basi timu bora ni liver, Man U Na Arsenal!
Hizo nyingine haziwafikii hao kwa idadi ya makombe!!
Unanishangaza mkuu kwa analysis yako kwamba Arsenal ni timu mbovu???
Timu ambayo kwa miaka 17 mfululizo haijawahi kushindwa kufuzu Champions league!! Uko serious kweli wewe??
Premier league ambayo arsenal wanashiriki lengo lake kuu ni kumtafuta bingwa , Arsenal haijawahi kutwaa ubingwa huo kwa zaidi ya miaka 10 , hata kwenye champions league kwa uhakika wamekuwa wasindikizaji tu , kwa sasa arsenal ni kati ya timu isiyomtisha yeyote ndani na nje ya uingereza .

Sasa yale mambo ya kale kwamba eti waliwahi kuwa mabingwa yanabaki kwenye historia tu , kama tunavyosoma kuhusu akina kinjikitile , mkwawa , chabruma etc.
 
Namsikitikia sana huyu kijana kwa kupoteza kipaji chake .
Hamna kaka hawaja kurupuka mpaka wanachukua maamuzi wameangalia mbali. Tatizo kuna vitu sisi kama washabiki tuna angalia na mchezaji na wakala wake wana angalia so they decide what is best for them.
 
Back
Top Bottom