Recent content by rackel

  1. R

    JamiiForums Tanzania Haya ni maamuzi magumu ninayoyachukua, potelea mbali, liwalo na liwe

    Dah afadhali comments zenu zimenichekesha... Mwenyewe issue hizi za uchaguzi zinanitesa mno! Maumivu moyoni...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Haya ni maamuzi magumu ninayoyachukua, potelea mbali, liwalo na liwe

    Sio utoto bhana.. Watu wanajaribu kuchangamsha japo tucheke... Wenye kupunguza machungu tupunguze na wanaosherekea waendelee kufurahi.. . Simple
  3. R

    JamiiForums Tanzania Napendekeza ujengwe mnara wa kumbukumbu wa Deo Filikunjombe

    Alikuwa vizuri sikatai, but sio kiwango cha kujengewa mnara jaman. ... mtajengea wangapi! Kwakuwa ameacha watoto wadogo... Mumuenzi kwa kufatilia wanae kuhakikisha wanasoma... Nadhan hiyo ni ya muhimu zaidi
  4. R

    JamiiForums Tanzania Nani aliwashauri UKAWA kujiweka mbali na Nyerere?

    Mwalimu ndo nani. .. Slaa ndo nani. . Tusubiri matokeo ndo utaelewa... km issue ni ufisadi. .. Vp kuh CCM!
  5. R

    JamiiForums Tanzania Nani aliwashauri UKAWA kujiweka mbali na Nyerere?

    Kwahiyo ukijiweka mbali na marehemu Nyerere ndo inakuwaje.... Lazma uelewe Nyerere sio muumba wetu na hana hatma yetu... Hata ingekuwa hivyo... Nitajie basi chama kinachomuenzi Nyerere kwa vitendo.. Otherwise tusubiri matokeo tuone hizo faida za kujiweka close na Nyerere
  6. R

    JamiiForums Tanzania Sexy lips ndiyo ugonjwa wangu

    Weeee nawe, mtoto wa kuzaa mmoja au wawili Wengn kaadapt. Amekatwa titi coz of cancer. Inasikitisha... Ila ni mzuri, umri umeenda bt still anavutia
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mauzauza ya mke wangu

    Mimi niko tofauti na wengi... Nakusapoti asilimia 100 kuondoka hapo nyumbani.. Na haimaanishi unakimbia matatizo km wengi wasemavyo.. . Bt ni aina ya mbinu ya kusolve tatizo. Utakapoenda mbali ndipo atagundua umuhimu wako.. Coz hatuonagi umuhimu wa kitu hadi kinapoondoka kwenye himaya zetu...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mauzauza ya mke wangu

    Hahahaha haaaaa!
  9. R

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Kikwete imeharibu kabisa ufungaji wa kampeni za Magufuli

    Mh! Ivunje!? Kwn ni vitu vigeni. .!? Ni breaking news..? mbona ni marudio, km ni kuvunja ingeshavunja muda mrefu.. Ila unaruhusiwa kujifariji
  10. R

    JamiiForums Tanzania Deo Filikunjombe, Capt Slaa ni sababu nyingine ya kwanini sitaichagua CCM kabisa

    Atakuwa nao mbona... Urais... atakuwa nao. Just wait and see
  11. R

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kuaga mwili wa marehemu Deo Filikunjombe (Mb) - Kijichi jijini Dar es Salaam

    Shida ya baadhi ya Wabongo ni kila tatizo kuchukulia km bahati mbaya na kumsingizia Mungu ndo kapanga... Jaman tabia hiyo ya kutowajibishana ndo inawalemaza watendaji. .. Hiyo helcopter imenunuliwa ikiwa mbovu.. Na ilishawahi kuzingua mara kadhaa.. Sasa hapo ukiita uzembe.. . Watu wanapanic kwa...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kuaga mwili wa marehemu Deo Filikunjombe (Mb) - Kijichi jijini Dar es Salaam

    Dah! R. I. P Deo Filikunjombe... Sina mengi! Nikikumbuka kipindi cha escrow. . Ulitimiza wajibu wako ipasavyo kama mwana kamati.. Kama mbunge. Pole kwa family
  13. R

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa mkoa wa Mara (Serengeti,Tarime)

    OK, hadithi yako yatufundisha nn?
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanahabari hawamtaji Mhe Rais Kikwete kama Professor?

    Kha! Wewe mtu uliandika hii kitu ukiwa sober au tilalila kwa viloba?
  15. R

    JamiiForums Tanzania Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

    Umejielewa ulichosema. ... kwamba watanzania tufanye yetu tuwaache nyie wanyarwanda. .! Mbona we ya kwetu Tanzania unayaongelea?? Tena unayashobokea haswa! eti utachafua hali ya hewa humu JF kisa Rwanda imetajwa.. . Hovyo! Na vitisho vyako vya kitoto. Hopeless
Back
Top Bottom