Sexy lips ndiyo ugonjwa wangu

Sexy lips ndiyo ugonjwa wangu

Hana matiti?
pale alipo bado mzuri japokuwa kanyonyesha watoto kama sita hivi!!

Weeee nawe, mtoto wa kuzaa mmoja au wawili Wengn kaadapt. Amekatwa titi coz of cancer. Inasikitisha... Ila ni mzuri, umri umeenda bt still anavutia
 
kila mtu anavutiwa na chake kwa mwanamke,wengine miguu wengine paja,wengine sura,wengine macho,wengine tabasamu,wengine mwendo ,ilimradi tafran moyo na macho........anaweza akawa mzuri kwako na akawa mbaya kwa mwenzio...

huyu atakuwa anakuongelea wewe ujue na ile avatar yako ya mwanzo kabisa!
Hata mimi namuunga mkono na miguu!
 
kila mtu anavutiwa na chake kwa mwanamke,wengine miguu wengine paja,wengine sura,wengine macho,wengine tabasamu,wengine mwendo ,ilimradi tafran moyo na macho........anaweza akawa mzuri kwako na akawa mbaya kwa mwenzio...

Kama mimi Tako kubwa,zito na laini ndio kivutio cha kwanza.
 
Ila uzingatie usafi jaman😀😀😀😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom