Recent content by Racist

  1. R

    JamiiForums Tanzania KIGOMA: Zaidi ya abiria 50 wanusurika kifo baada ya basi kutumbukia katika mto Malagarasi

    Kabla hujauliza hilo swali bora ungefanya uchunguzi wa jiografia ya kigoma na ukaona coverage ya mto malagarasi, ungefahamu ni barabara ngapi zinakatiza ktk mto huo usingeuliza swali lako.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya Watanzania 408 wanashikiliwa ughaibuni kwa kusafrisha Madawa ya Kulevya

    Lazima tujiridhishe rangi zao tusijeambiwa ni watanzania wenyeasili ya kiarabu na kihindi, kama ni hao si watanzania
  3. R

    JamiiForums Tanzania ZANZIBAR: Viongozi wa CUF washutumiwa kuchochea vurugu Pemba

    Unafaa kukamatwa na kufikishwa mahakamani mara moja
  4. R

    JamiiForums Tanzania Wabunge wampa makavu Waziri Kitwanga, Masha aonyesha umbumbumbu

    S Bora ungemwambia hayo mwenyekiti wa cdm maana kalewa sana madaraka, kila anayejitokeza kugombea nafasi yake anapewa za uso. Halafu mnajidanganya et upinzani kunademokrasia.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Wabunge wampa makavu Waziri Kitwanga, Masha aonyesha umbumbumbu

    Si kila akushangiliae anakutakia mema, wengi wao ni wanafiki
  6. R

    JamiiForums Tanzania Nimewahi kuwa changudoa, nimjulishe?

    Siku zote ukeli humweka mtu huru, kama wewe si mkweli wengine ni wakweli
Back
Top Bottom