yeyote anayesupport wanachofanya Municipals kule arusha nadhani hajafika akaona mwenyewe. hata mtoto wa shule ya msingi hawezi kutoa ushauri wa vile. Ile ni upotevu tu wa mali za nchi hii. hata wangekuwa wanafanya evaluations matofali ambayo yameshakanyagwa na magari ni mengi kuliko ambayo bado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.