Abortion ~ (Nice Story) Must Read | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Abortion ~ (Nice Story) Must Read

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bujibuji, Jun 24, 2009.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Jun 24, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 21,995
  Trophy Points: 280


  A worried woman went to her gynecologist and said:
  "Doctor, I have a serious problem and desperately need your help! My baby is not even 1 yr. old and I'm pregnant again. I don't want kids so close together."
  So the doctor said: 'Ok, and what do you want me to do?'


  She said: 'I want you to end my pregnancy, and I'm counting on your help with this.'
  The doctor thought for a little, and after some silence he said to the lady: "I think, I have a better solution for your problem. It's less dangerous for you too.'


  She smiled, thinking that the doctor was going to accept her request.
  Then he continued: 'You see, in order for you not to have to take care of 2 babies at the same time, let's kill the one in your arms. This way, you could rest some before the other one is born. If we're going to kill one of them, it doesn't matter which one it is.


  There would be no risk for your body if you chose the one in your arms.
  The lady was horrified and said: 'No doctor! How terrible! It's a crime to kill a child!
  'I agree', the doctor replied. 'But you seemed to be ok with it, so I thought maybe that was the best solution.

  The doctor smiled, realizing that he had made his point. He convinced the mom that there is no difference in killing a child that's already been born and one that's still in the womb. The crime is the same! ​
   
 2. I

  Inviolata Member

  #2
  Jun 24, 2009
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nice one! Kuua ni dhambi, Abortion ukifikiria kwa karibu utaona ni kitu cha kawaida, lakini ukiangalia kwa undani zaidi utagundua kuwa ni kosa tena kubwa sana. Kwa kifupi tu ni kwamba unapofanya hivyo ujue kwamba umeua. Hakuna tofauti na jambazi ambaye anatoa maisha ya mtu. 'That little tinny thing' is a human being tena ni ukatili mkubwa kwani yule mtoto tumboni hana hata uwezo wa kujitetea. Please wakina dada tujitahidi, condom zipo use them ili kuondoa tatizo la mimba zisizotarajiwa!
   
 3. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #3
  Jun 24, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Abortion is sin.
   
 4. Grader

  Grader JF-Expert Member

  #4
  Jun 24, 2009
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 446
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kaka Inviolata unachoongea ni muhimu sana ukitazama kwa misingi ya dini,lakini angalia na tafakari kwa nini akina dada wengi wanafanya ABOTION hiyo ndiyo mada ya muhimu sana, kama unavyoona watu wengi wanajiua wenyewe kwa kamba au kwa sumu.nafikiri wakina dada wengi wanatoa mimba kama inavyodaiwa na mtoa mada hapo juu. nikwamba vinavyosababisaha ni kama hapa chini ninavyoandika.
  1.watu wengi wanapenda starehe sana kuliko majukumu hassa ya kulea watoto
  2.kukosa huduma kutoka kwa baba mtoto mtarajiwa.
  3.Umasikini wa kipato.
  4.Kuogopa wazazi na serikali kama dada mwenyewe ni mwanafunzi.
  5.ukosefu wa elimu ya dini na hata ya dunia kuhusu umuhimu wa maisha.
  6.tofauti ya dini au kabila huwa pia linachangia.
  7.ushawishi,ulevi,elimu,ukosefu wa akili,utumiaji wa maadawa ya kulevya n.k
  hayo ni machache tu. ila nataka kusema kuwa hapa duniani cha kujali sana ni elimu ya dini tu kwani ni muongozo kwa wale wenye akili. ukikosa elimu ya dini lolote kati ya haya utafanya hata kubaka
   
 5. s

  sinani Member

  #5
  Jun 24, 2009
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  dah bonge la busara
   
 6. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #6
  Jun 24, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  The issue is, Arbotion is a Sin......ni kuua kama jambazi anavyoua........tena hata huwezi kufananiasha na jambazi kwani kiumbe yule hawezi hata kujitetea..ni sawa na kuua mtoto alekwishazaliwa, kwani hata kujitetea hawezi!!!!!!
   
 7. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #7
  Jun 24, 2009
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160

  The greatest destroyer of peace is abortion because if a mother can kill her own child, what is left for me to kill you and you to kill me? There is nothing between.
  Mother Teresa
   
 8. R

  RACH Member

  #8
  Jun 24, 2009
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Ni kweli kabisa.
   
 9. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #9
  Jun 24, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Grader, hayo yote hapo juu haijawa sababu ya kukufanya uwe muuwaji wa vichanga.

  Huyo anayetaka kutoa mimba, hajui kuwa hata yeye mzazi wake alivumilia yote... ndio akapatikana yeye, je na yeye angechoropolewa angepata nafasi ya kuchoropoa!?
   
 10. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #10
  Jun 24, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Utoaji wa mimba unaruhusiwa tu iwapo tu kuna uwezekana wa mama kufariki kwa kuwa na kiumbe hicho, au kuendelea kwake kuwa na mimba hiyo kutamletea mauti. Na isitoshe kukubalika huko, bali kumetakiwa uthibitisho huo utolewe na daktari mwenye kuaminika kabisa.

  Ama kuitoa mimba tu kwa sababu ya kutotaka mtoto, au kukhofia riziki yake, au malezi yake, au kuchelea gharama za maisha kama kumsomesha, kumvisha, au kumlisha n.k. hayo yote hayaruhusiwi kisheria.
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  Jun 24, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,407
  Trophy Points: 280
  Wengine eti wanatoa mimba kwa sababu hawako tayari kuwa na familia au kwa sababu mwanamme aliyejaza hiyo mimba kaingia mitini na demu anakuwa hataki kulea mtoto peke yake. Very evil!
   
 12. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #12
  Jun 24, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mkuu mi nadhani ni more than evil, maana hata huyo tunaye msingizia kuwa anatushawishi kutenda hayo tunayo yatenda, hatujawahi kusikia katoa mimba.
   
Loading...