Recent content by Rabboni

  1. R

    JamiiForums Tanzania HOJA Maghorofa ya Samia Kawe kugeuzwa AirBnB? Hivi hawaoni Janga la Makazi linalotishia Dar? Je, mlengwa ni nani?

    Bado kuna sijui Bodi ya Majengo ama? kwa nini wasiunganishe hivi, then kuwa na idara idara?
  2. R

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya fundi mechanic magari makubwa

    Tech Max kazi hii
  3. R

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Sawa, watakulipa na kufanya back date sasa
  4. R

    JamiiForums Tanzania HOJA Maghorofa ya Samia Kawe kugeuzwa AirBnB? Hivi hawaoni Janga la Makazi linalotishia Dar? Je, mlengwa ni nani?

    Najiuliza hivi mfumo wa majengo wa serikali ni upi? kwa sababu kuna mtiririko wa building agencies kibao... NHC TBA Board ya Ujenzi Watumishi Housing n.k yote haya ya nini?
  5. R

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto na unyonyaji wa wafanyakazi - Jambo Group of Companies, Shinyanga

    Si wanajua vijana wanaotafuta kazi ni wengi? ila hii ni mbaya sana kwa kweli.
  6. R

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto na unyonyaji wa wafanyakazi - Jambo Group of Companies, Shinyanga

    Hivi Bakhresa sio mwarabu?
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi walioenda ulaya,usa au watu toka usa,ulaya kuja tanzania hulazimika kupitia kenya?

    Hakuna shida wala, ni maamuzi yao tu. Mbona hapa Tanzania tuna makampuni yanatua hapa na yanaenda Ulaya? Naona kama ni maamuzi ya watu tu na kutochangamka kwa Air Tanzania... Now days Air Rwanda, inatoka London-Kigali-KIA-Dar... Bingo hiyo... Wanaoenda Nairobi ni kwa ajili ya KQ. Lakini...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

    Maxence ni mjanja sana, pengine huyo Seran ana akaunti ingine halisi
  9. R

    JamiiForums Tanzania KERO ESS na PEPMIS ni kitanzi kwa Watumishi, kila muda mfumo huo unapotea hewani

    Duh, kupandisha majukumu ya kila siku kwa watumishi wote? Mbona hii ni ngumu sana? Kwasababu majukumu yako lazima yadhibitishwe na kiongozi wako, Nani atapata huo muda? Nawashauri ili liweze kuwa sawa, wawe wanafanya hata kwa kipindi cha robo term yani kila baada ya miezi mitatu. Na sio...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Sahihi kabisa Tanga boy, siku izi maisha ni survive for the fittest.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Mkuu Pole sana, Mbona serikali huwa haibadilishi mshahara wa mtu? labda kama ulipata demotion, Ila kama ni uhamisho utakosa hizo posho tu, mshahara wako unabaki ule ule.
  12. R

    JamiiForums Tanzania KERO Mchezaji wa Simba anatumia jina langu, ananiambia nikashtaki popote

    Ila kwanini Duchu atudanganye? kuwa kazaliwa 2001 wakati ni kijana wa 1994?
  13. R

    JamiiForums Tanzania Nina kereka na mume wa x wangu amemtelekeza mke, ananisumbua

    ukimaliza maelezo ya uzi ndio unaenda kwenye title uzi umekamilika? ha ha ha ha
Back
Top Bottom