Recent content by Rabbi Faz Chover

  1. R

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata Mafunzo ya Martial Arts kwa upande wa Moshi

    Mkuu nishaku pm..
  2. R

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata Mafunzo ya Martial Arts kwa upande wa Moshi

    Thanks,mkuu.. Ngoja nijisogeze..
  3. R

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata Mafunzo ya Martial Arts kwa upande wa Moshi

    Mwenye kujua mahali ambapo ninaweza kujifunza mojawapo ya michezo tajwa hapo chini mjini Moshi basi anisaidie:- 1. Combat Karate 2. Tae Kwon Do 3. Krav Maga 4. Muay Thai.. Michezo hii nimeipanga kutokana na levels za mapenzi yangu hata hivyo ikiwa hakuna mahali michezo tajwa hapo juu...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Samsung Galaxy J1 software updating failure..

    Ngoja nifanyie kazi comments zenu then nitatoa report..
  5. R

    JamiiForums Tanzania Samsung Galaxy J1 software updating failure..

    Kwa muda wa wiki tatu sasa nimekuwa nikapata notifications za kufanya updates ya software za simu yangu tajwa hapo juu.. Pamoja na kuwa katika eneo ambalo internet ipo vizuri,kila nikifanya updates zinapofika wakati wa kufanya installation zinakataa then inaandika "error..." ikiwa na namba...
  6. R

    JamiiForums Tanzania STEM vs BASE

    Ningependa kufundishwa tofauti ya terms zifuatazo kama zinavyotumika katika topic ya Word Formation.. 1. Stem 2. Base
  7. R

    JamiiForums Tanzania Huawei wako juu

    Inauzwa pesa ngapi?? Inatumia line ngapi?? Naweza ipata wapi?? Ukinisaidia hayo itakuwa njema sana..
  8. R

    JamiiForums Tanzania Huawei wako juu

    Inatumia line ngapi,mkuu??
  9. R

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Majina ya Waliopangiwa kujiunga na Kidato cha Tano, Julai 2015

    Nipe ya Sunshine Secondary School,please..
  10. R

    JamiiForums Tanzania Windows 10

    Nimekupata mkuu..
  11. R

    JamiiForums Tanzania Windows 10

    Thanks mkuu..
  12. R

    JamiiForums Tanzania Windows 10

    Salam wapendwa!!! Siku za hivi karibuni nimekuwa nikiona tangazo kwenye Pc yangu likinielekeza kuwa ninaweza kufanya upgrade ya OS yangu kutoka Windows 8.1 hadi Windows 10 ambayo si trial version kwa kifurushi chenye ukubwa wa GB 3 tu. Kwa kweli ufahamu wangu mimi ni karibia na sifuri kwenye...
  13. R

    JamiiForums Tanzania MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

    Much love,mkuu..
  14. R

    JamiiForums Tanzania MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

    Mkuu unawewza ni-pm namba yako ili nikutafute kwa ajili ya mambo ya hapa na pale..
Back
Top Bottom