Recent content by R579

  1. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia aahidi kununua matrekta milioni 10 akiingia madarakani kwa awamu ya pili

    Waziri wa kilimo amekuwa akizungumzia matrektaelfu kumi. Nafikiri hicho ndo walipanga kusema akapitiwa
  2. R

    JamiiForums Tanzania Watumishi wote nchini msiwe wapumbavu ulipo kama nafasi ipo piga

    Bahati mbaya jinai haifi kamwe
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mapungufu ya hoja ya mifumo kusomana je, taifa gani mifumo haisomani

    Ukisikiliza hoja za Polepole kuna ujumbe mzito anataka kufikisha kwa jamii
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kati ya Tanga,kibaha, mbeya, morogoro na songea MJI gani una gharama ndogo za maisha?

    Songea gharama ya maisha ni ndogo sana. Kuna maeneo kama bombambili boda bado ni jero. Ila mzunguko wa pesa ni mdogo sana hivyo ni ngumu kupata pesa. Pia umbali kufikq majiji ya Tanzania linapafanya kutokuwa sehemu nzuri ya kuweka makazi. Morogoro ni pazuri zaidi kwa vyakula,gharama za maisha na...
  5. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Wadangaji tuna Maisha mazuri kuliko Wanawake walio Ndoani

    Fainali inakuja soko litakapoisha baada ya umri kusogea. Upweke utakumaliza
  6. R

    JamiiForums Tanzania Natamani kujua gharama ya ndege binafsi iliyomtoa Lissu Dodoma mpaka Nairobi baada ya kushambuliwa na risasi ili tujue ukweli

    Mkuu sidhani kama unaelewa vema system inavyofanya kazi nje ya taratibu za kawaida. Kwani wakitoa tenda kwa mkandarasi na wakaweka hizo expenses humo kisha akilipwa hiyo pesa akarudishiwa aliyetoa pesa ya kukodi ndege utaiona wapi? Nenda Dumila kuna vibanda vya wafanya biashara ndogo ndogo...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya Oscar Kambona sasa ni Feza Primary. Nini kimetokea?

    Wenzio wanazungumziq mshahara wewe unaweka na posho!!!!
  8. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watoto hawa niwafanyeje? Baada ya kuharibu TV sasa wamebamiza gari gharama za kurekebisha milioni 3

    Hakukuwa na ulazima wa kuwapiga kiasi hicho mkuu. Gari zinanunuliwa tuuu
  9. R

    JamiiForums Tanzania Yawezekana kujifunza pikipiki siku moja ya kesho ili Jumatatu nianze nayo harakati Kariakoo?

    Pumzika kwa amani inadvance mkuu
  10. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, nikimnyima tendo nitakuwa sawa?

    Ushauri uliotoa ni wa kufikirika kwenye ndoa yenye watoto!!
  11. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, nikimnyima tendo nitakuwa sawa?

    Una uzoefu wa ndoa??
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti ya bei za madirisha Aluminum kwa rangi zake?

    Kulinganisha bei inabidi upate uelewa za specifications za materials vinginevyo utatengenezewa kwa material ya kiwango cha chini kwa bei ya juu na bado ukadanganywa ni nafuuu
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti ya bei za madirisha Aluminum kwa rangi zake?

    2024 nililetewa bill ya 23millions kuweka madirisha ya uPVC,nikapata mtu kanisaidia kupata sehemu ya kununua materials yote kisha nitafuta fundi ayatengeneze jirani na site,gharama zilipungua mpaka 15millions
  14. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi kamali. Leo nimepigwa tukio sijuhi nimueleweje

    1.Wewe ndo wa kwanza kwake kimapenzi 2. Umempa heshima mpaka umemsajilia line?? Pambana na maisha mkuu,hayo uliyofanya hakuna la ajabu hapo
  15. R

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanza kunywa pombe, naanzaje?

    Nenda grocery au bar agiza na kunywa
Back
Top Bottom