Recent content by r.zube

  1. R

    JamiiForums Tanzania Je unatafuta mchumba(mke au mume)? Pata hapa

    jaman naombeni kwa wale nliowaunganisha watoe ushuhuda wao hapa
  2. R

    JamiiForums Tanzania Je unatafuta mchumba(mke au mume)? Pata hapa

    jaman wakina dada wakaka wako wengi wanaojitokeza
  3. R

    JamiiForums Tanzania Je unatafuta mchumba(mke au mume)? Pata hapa

    jaman kama kweli unatafuta ni vizuruka ni pm, na wale waliopata jaman naomba sana mrejesho, wengine tuwe na subira kwani tunaangalia sana vigezo vya mtu alivyo omba
  4. R

    JamiiForums Tanzania Je unatafuta mchumba(mke au mume)? Pata hapa

    oshauri kwa wale wanaonotumia pm naomba mkumbuke kuandika mawasiliano
  5. R

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali, anataka kuniroga

    mmmmmmmm kazi ipo
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mawasiliano ya barabara Dar - Bagamoyo yakatika

    mmmm jamani hizi mvuaaa, poleni sana
  7. R

    JamiiForums Tanzania Daraja la Mzinga lakatika

    gari la serikali alina shidaaaaaaaaaaa
  8. R

    JamiiForums Tanzania Tahadhari ya Mvua kwa mikoa ya Pwani

    jamani watu wa dar poleni sana kwa mvua kubwa
  9. R

    JamiiForums Tanzania Chanel 10 na taarifa za mafuriko jijini Dar.

    mmmmmm kweli kila kitu kinatakiwa kwwa kiasi kikizidi ni noma
  10. R

    JamiiForums Tanzania Alex msama apata ajali

    daaaah mungu amsaisie apone haraka
  11. R

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufanyia interview watu bila ya kuajiri UDOM watanganza tena nafasi za kazi

    kweli kazi ipo kupata kazi
  12. R

    JamiiForums Tanzania Je unatafuta mchumba(mke au mume)? Pata hapa

    Mashukuru mpaka sasa nshawaunganisha watu kumi, kwa wale wengine mlionitumia pm zenu kuweni wavumiliv nawatafutia mnaoendana na sifa husika, asanten
  13. R

    JamiiForums Tanzania Je unatafuta mchumba(mke au mume)? Pata hapa

    Sawa kaka naomba uni pm na kisha ueleze sifa zote za mtu unayemtafuta
  14. R

    JamiiForums Tanzania Je unatafuta mchumba(mke au mume)? Pata hapa

    Kwanza namshukuru mungu kwa kunipa uhai kwa siku ya leo. Kimsingi niko hapa kuwaunganisha watu wanaotafuta WACHUMBA. Nimeamua kufanya hivi kwani hitaji la watu ni kubwa humu JF ila kunawatu wachache wanawakatisha tama watu wanao tafuta wachumba humu JFkitu ambacho sio kweli, kumbuka mchumba...
Back
Top Bottom