Je unatafuta mchumba(mke au mume)? Pata hapa

wanaokejeli wakejeli tu. na mimi ninashida hiyo huku mtaani kwetu sijaonaga kila mtu ana mtu wake.
nahitafuta mchuma mwanamke umri kuanzia 18 - 24. dini mkristo akiwa mkatoliki ningepena sana,nisingependa alienda shule kwan mie elim yangu ni ndogo,ningependa asie na vikwazo wa kuolewa yaan asiwe mwanafunzi au anajishugulisha nashuguli asioweza kuhama,na ningepena asieko mbali na mkoa wa morogoro. namba yangu 0756394667. au email meelaemanuel@gmail.com.
 
Kumekuchaje wadau, mwanaume awe na elimu angalau hata form six n kuendelea mi nna degree, mrefu mweusi au maji ya kunde, angalau awe ameanza kujitegemea , nko Mbeya, awe mcha Mungu vingine ziada tutashauriana, 0753377446

Asubuhi yote hii!! Umri?
 
Miaka 29 hadi 35 unajuaje kama nimeoteshwa, Mhandisi Mzalendo
 
jaman naombeni kwa wale nliowaunganisha watoe ushuhuda wao hapa
 
Kumekuchaje wadau, mwanaume awe na elimu angalau hata form six n kuendelea mi nna degree, mrefu mweusi au maji ya kunde, angalau awe ameanza kujitegemea , nko Mbeya, awe mcha Mungu vingine ziada tutashauriana, 0753377446

ok mi nipo tayari lakin bado harakat
 
Natafuta mchumba mwanamke kuanzia miaka 16 hadi 21 mm nna 21 nipo dar na yeye awe anaishi dar
 
Natafuta mchumba mwanamke kuanzia 16 hadi 21 mimi nna 21 nipo dar na yeye awe anaishi dar no zangu 0757009803
 
Kumekuchaje wadau, mwanaume awe na elimu angalau hata form six n kuendelea mi nna degree, mrefu mweusi au maji ya kunde, angalau awe ameanza kujitegemea , nko Mbeya, awe mcha Mungu vingine ziada tutashauriana, 0753377446

Ushapata? naomba unipm plz..
 
Habari za asubuhi ndugu wana jf,mim n mwanaume wa miaka 27 mrefu maji ya kunde,chaga boy,npo dar mbagala kuu elimu shahada ya kwanza,mkristo,nahitaji mpenzi wa kike aliopo dar,awe na elimu ya form 4 nakuendelea,awe tayari kukubali dini yngu yakikristo,# 0715 406010/ 0759 706090
 
Kwanza namshukuru mungu kwa kunipa uhai kwa siku ya leo.

Kimsingi niko hapa kuwaunganisha watu wanaotafuta WACHUMBA.

Nimeamua kufanya hivi kwani hitaji la watu ni kubwa humu JF ila kunawatu wachache wanawakatisha tama watu wanao tafuta wachumba humu JFkitu ambacho sio kweli, kumbuka mchumba anaweza kupatikana popote.

HILI uweze kunganiswa mtafutaji anatakiwa azingatie vitu vifuatavo
1. Umri wake na umri wa mt anaetafua
2. Jinsia yake na jinsia anayoitafuta
3. Kazi yake
4. Dini yake na dini ya mtu anayemtafuta
5 Mwasiliano(ni muhimsana
6. Mahali anapoishi
7.Kazi anayofanya

Kwa kuzinata vitu hivyohapo juu,ntakuwa nmeuunganisha kwa mtu anaeedana na wewe
NAWATAKIA JIONI NJEMA NA MUNGU AWALINDE

Wewe hao wenzi/wengine unawapata wapi? I mean, unawatoa wapi huko kuwaunganisha na wengine?!! cijakupata hapo tafadhali
 
Kwanza namshukuru mungu kwa kunipa uhai kwa siku ya leo.

Kimsingi niko hapa kuwaunganisha watu wanaotafuta WACHUMBA.

Nimeamua kufanya hivi kwani hitaji la watu ni kubwa humu JF ila kunawatu wachache wanawakatisha tama watu wanao tafuta wachumba humu JFkitu ambacho sio kweli, kumbuka mchumba anaweza kupatikana popote.

HILI uweze kunganiswa mtafutaji anatakiwa azingatie vitu vifuatavo
1. Umri wake na umri wa mt anaetafua
2. Jinsia yake na jinsia anayoitafuta
3. Kazi yake
4. Dini yake na dini ya mtu anayemtafuta
5 Mwasiliano(ni muhimsana
6. Mahali anapoishi
7.Kazi anayofanya

Kwa kuzinata vitu hivyohapo juu,ntakuwa nmeuunganisha kwa mtu anaeedana na wewe
NAWATAKIA JIONI NJEMA NA MUNGU AWALINDE

Hii huduma inahusisha na part time? ile mtu anataka ya siku moja
 
daah!!!
watu mmekulia wapi aseeh mpaka mtafute wachumba online? mtakuja kuoa majini mshangae...

yaani umesoma primary, secondary, chuo na bado mtaani huko kote hujapata mwanamke!!

huo utakua udomozege sasa

mkuu hiyo sio hoja na mm nilipokuwa mtoto nilikuwa najiuliza sana kuhusu hili lakini kumbe ni tofauti kote huko ni maisha ya mpito .
 
Kwanza namshukuru mungu kwa kunipa uhai kwa siku ya leo.

Kimsingi niko hapa kuwaunganisha watu wanaotafuta WACHUMBA.

Nimeamua kufanya hivi kwani hitaji la watu ni kubwa humu JF ila kunawatu wachache wanawakatisha tama watu wanao tafuta wachumba humu JFkitu ambacho sio kweli, kumbuka mchumba anaweza kupatikana popote.

HILI uweze kunganiswa mtafutaji anatakiwa azingatie vitu vifuatavo
1. Umri wake na umri wa mt anaetafua
2. Jinsia yake na jinsia anayoitafuta
3. Kazi yake
4. Dini yake na dini ya mtu anayemtafuta
5 Mwasiliano(ni muhimsana
6. Mahali anapoishi
7.Kazi anayofanya

Kwa kuzinata vitu hivyohapo juu,ntakuwa nmeuunganisha kwa mtu anaeedana na wewe
NAWATAKIA JIONI NJEMA NA MUNGU AWALINDE

mm nipo dar ni mjasilimali . miaka 26. elimu shahada. dini mkristo natafuta mchumba contact 0765190989
 
Naitwa fransis naumri was miaka 30 ni electrical engineer of power indrustreis ni mkristo 0719880848 nipo dar nimejiajiri
 
Back
Top Bottom