Recent content by R GEBRA

  1. R

    JamiiForums Tanzania Kinana kugombea ubunge Arusha mjini

    babako ndyo shoga..mpuuzi mkubwa we
  2. R

    JamiiForums Tanzania Hamad Rashid: UKAWA ni Boko Haram

    Hamadi anasema kwann serikali isiwazibiti ukawa...aise huyu jamaa hazimo kweli.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Hamad Rashid: UKAWA ni Boko Haram

    Mbunge wa Wawi Hamad Rashid amesema UKAWA ni Boko Haram,wanaeneza chuki serikali inawangalia tu. Source: magezeti asubuhi rfa
  4. R

    JamiiForums Tanzania Naomba tusaidiane malezi

    Maombi ni muhimu km ww ni mkristo ndyo silaha enyewe..uwe una mpeleka kwenye maombi atabadilika.sbb kuna tabia za kurith
  5. R

    JamiiForums Tanzania Naomba tusaidiane malezi

    Jaribu kuwa mkali kidogo atarekebishika..pia malezi ya dini yanamjenga sna mtoto ktk maadili mema..cjui imani yako
  6. R

    JamiiForums Tanzania A Brief Statement On Boko Haram (From Nigeria) - The Mufti Of Saudi Arabia Shaykh Abdul-Azeez Aala S

    HONGERA MUFTI WA SAUDIA KWAKUSEMA UKWELI..KUNA WAJINGA HUMU JF WANATETEA B HARAM NADHANI WAMEPATA SOMO..ahsante mufti
  7. R

    JamiiForums Tanzania ACT-Tanzania: CCM ni gonjwa, limezoea dawa, sasa tulibadilishie dawa..

    Hyo bendera vp?au ndyo kazi ile ile za babayenu ccm ya udini?hatuna haja na hyo act yenu cc tupo na ukawa,ukawa ndyo jbu
  8. R

    JamiiForums Tanzania ikulu yambeba Nyalandu

    Nyalandu ni ji2 linaloishi kwa umbea umbea kawafitini wenzake hadi kapewa funguo ya uwaziri,hovyo sana huyu jamaa
  9. R

    JamiiForums Tanzania UKAWA: Hatujaalikwa sherehe za Muungano!

    Hv ww unajitokeza kwenye ishu ya mbowe na slaa ina mana kwenye post nyngne unakuwa wapi?au unatumia id nyngne?anyway ww na mbowe mlikuwa wapi mpaka akuambie hvyo?
  10. R

    JamiiForums Tanzania Madini ya rubi

    Rwanga n wapi
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mama amsamehe na kumfungua kitanzi mfungwa aliye hukumiwa kufa kwa kumuua mwanae

    ina mana mama akisamehe hukumu inateguliwa?ubarikiwe mama kwa moyo wakusamehe
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Nyanya: Aina za mbegu, mbinu za kulima na masoko yake

    hybrid zote imeandikwa na bei yao iko juu,,navyofahamu
  13. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania Tops Africa like Mount Kilimanjaro

    nch tajiri wananch wake maskini,,viongozi wake mabilionea,,watanzania wengi n mazuzu,mkulima akijitahidi kulima nakutafuta soko la mazao yako nje ya nch unambiwa nch ina njaa hamna ruksa kutoa chakula nje utafikiri walikusaidia kulima,sijui tunakwenda wapi nch hi
  14. R

    JamiiForums Tanzania Yafahamika: Meli iliyobeba sukari haikuzama kama ilivyodaiwa, shehena imeibiwa na kuuzwa Kenya

    huyo matata c yule jambazi anayefanya uharamia ziwani?c rafiki yake na yule mwenyekiti wa ccm aliyeuwawa na wanannch.hao wote ni waharamia na inawezeka kabisa
  15. R

    JamiiForums Tanzania Mratibu Act Tanzania auawa

    km tungekuwa na viongozi bora wenye upeo mpana tznnia tusingekuwa hatuna haja kuharibu mazingira,tuna nishati zakutosha za umeme na gesi,,kwakuwa tunaongozwa navichwa maji ya ccm kilakitu hovyo hovyo,,natamani hi nch ingepinduliwa kwanza kwa mda ili inyoke
Back
Top Bottom