RockSpider
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 6,859
- 2,758
Wana jf, salaam.
Waziri wa maliasili na utalii,Lazaro Nyalandu ameshinda vita kwa ghiliba na ushawishi wenye nguvu zisizo kifani, amefanikiwa kuwabadili mawazo wakuu wa ikulu akiwamo katibu mkuu kiongozi.
Kwa nguvu hizo, profesa Songorwa na profesa Kidegesho sasa wanahamishwa wizarani na kupelekwa katika taasisi mbalimbali. Juzi, katibu mkuu kiongozi alimuita Nyalandu na wakakamilisha mpango huo.
Nyalandu amewaandaa watu wake ili bajeti yake ikwamishwe ktk bunge. Wanaotajwa kusimamia mpango huo ni wabunge wanne. Lengo lao ni kuhoji kwanini maazimio ya bunge yamepuuzwa kwa maprofesa kurejeshwa wizarani.
Wanaotajwa ni Lugora,Lembeli, Shelukindo (keshajilipua), Sendeka na Ndugai. Nchi hii imekufa! Wanaodai uraia wa nchi mbili wameona mbali. Nguvu za pesa zimeshinda.
Honestly mimi sioni impact yoyote kiutendaji na hata kiuendeshaji kwani mfumo ni ule ule watu ni wale wale...kama kuna mtu anategemea changes yenye tija ndani ya CCM basi lazima itakuwa ana ugua Dengu la muda mrefu ambalo limejificha kwenye mishipa ya akili!... Wangekuwa serious Kagasheki angeendelea kuitumikia hiyo wizara siyo huyo Mmarekani mwenye kutenda kwa niaba ya waliomtuma kubinafsisha mbuga zetu na wanyama wetu ...