Recent content by qwerty

  1. Q

    JamiiForums Tanzania Please Tusaidieni Mimi na Mke wangu tunaumwa fangus kwenye nyeti kwa muda mrefu bila kupata

    Kwanza pole sana miaka mitatu si mchezo ushauri wangu nenda kwanza hospitali wajue ni aina gani ya fungus ulio nao ndo wakupe dawa kulingana na aina ya fungus Nimeona umesema umekunywa dawa nyingi sana aina tofauti . Ukinywa dawa nyingi hua inashusha immunity (Kinga) ya mwili ndipo fungus...
  2. Q

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania How to track someone's phone?

    Mi nimefanikiwa kuitumia ila binafsi naona ina disadvantages zake nimeona ina drain battery sana na pia bundles all in all ni great app thanx for sharing
  3. Q

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania A problem is preventing the troubleshooter from starting error code:0x80070426

    Elezea problem vizur maana sijakupata vizur
  4. Q

    JamiiForums Tanzania 350000/= nahitaji ushauri

    Make or Buy a website . Drive traffic to it .Monetize it
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Wana JF, ni halali kweli UDOM kuitwa chuo cha kata?

    Sociology inafundishwa na mhind sawa ila mbona ud wana prof wa law kutoka india pia
  6. Q

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Help: BOOTMGR not found, press Ctrl + Alt + Del to restart..!!!

    Nenda hapa utapata info http://how-2-s.blogspot.com
  7. Q

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kujifunza masuala ya computer online

    Nenda www.edx.org ila kozi zingine lazma una foundation of computer
Back
Top Bottom