everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Hivi hapa.... Na shine kitaa na bidhaa adimu
Umenikumbusha mbali sana,toka nilivyokula nikiwa mtoto mpaka wa leo sijawah kula,natamani kuvipika lkn ubize.

ni'pm namba yako..
Duh mkuu umenikumbusha mbali..