Recent content by QuiqDark

  1. Q

    JamiiForums Tanzania Ulinzi uongezwe nchini huenda Kocha Benchikha wa Simba SC akatoroka nchini usiku huu

    Daaaa haya wana5imba
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Ulinzi uongezwe nchini huenda Kocha Benchikha wa Simba SC akatoroka nchini usiku huu

    Sasa hako katano {5imba} kana maana gani
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Makonda: Kuna UJINGA unaendelea wa kumtofautisha Hayati Magufuli na Rais Samia

    Jamaa kaamua kufunguka.
  4. Q

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni amteua mwanae Muhoozi Kainerugaba kuwa CDF

    Ko inch ni ya family moja sasa. Naona mambo yanabamba sasa
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Baada ya Hayati Magufuli kuombewa Chato, Mwanza nao wanaandaa maombi, binafsi naona haya yanayofanyika baada ya Chato yako kimkakati

    Mbona hata kipindi hiki cha samia wanatoka wengi kuliko hata kipindi cha maguuu. Usikalili
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Awamu ya Tano Matajiri waliishi kama mashetani, pesa zao ziliporwa, Bureau De Change zilifungwa, wakabambikwa kesi nzito

    Sawa umetaja yote .......Sasa una wazungumziaje wanao kula kodi za raia leo jioni?.????
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Wazo Kebehi: Wangetaka Kutuua Wangetuacha na HIV/UKIMWI...

    Hivi maelewano tatizo ni nini. .......Tatizo ni huo msaada hatujauomba sisi .....ko mtanzania sio mjinga kupokea kitu ambacho hajaombwa wala kuwa na shida nacho
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Wasikilizaji wa Radio Imani: Ole wake atakayewalisha watoto wetu mchele wa msaada wenye virutubisho

    Tanzania yangu inaelekea wapi ,😞😞😞😞😞😞😞
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Makonda: Sitamsaliti Hayati Magufuli hata niwekewe bastola

    Nataka kuuliza Hivi samia atagombea mwakani.
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Shida tunazopata hivi sasa hapa nchini zimesababishwa na mwendazake

    Nani mwinyi au mkapa???
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Tarehe 17 March 2021, Makamu wa Rais akitangaza kifo cha aliyekuwa rais Ndugu Hayati Magufuli ulikuwa wapi?

    Kipindi hicho....... . .........me nilikua form four.sema wadau walileta msiba shulen. Ilikua ni noma na nusu
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Tarehe 17 March 2021, Makamu wa Rais akitangaza kifo cha aliyekuwa rais Ndugu Hayati Magufuli ulikuwa wapi?

    Taarifa nilipata nikiwa shule......... Kidato cha nne... Nakumbuka ilikua mda wa prepo🪝📖📝........ Saa kumi na moja Asubuhi🕚🕚🕚. Mlinzi alituletea taarifa ya kifo cha raisi🥺😰😥🥶. Daaaaa nakumbuka Darasa lilitulia kama dakika2.= Hakuna aliye toa neno wala kukohoa🎚️ Baadaye ndo mijadala ikaanza kwa...
  13. Q

    JamiiForums Tanzania True Story: Kupenda

    Ok sawa nishakupenda
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Ifike mahali Watanzania tuache kukubali hadaa na uzushi unaotolewa na akina Evarist Chahali na Kigogo

    U mean kuna baadhi zinaweza Expire ila kwa kikomo fulani so kila mtu ataona hizo taarifa ama kuzisikia
Back
Top Bottom