Recent content by Quinine Mwitu

  1. Quinine Mwitu

    Fahamu Majina ya kinyakyusa na maana zake

    Sana kaka kibungu huniteti na labda hata tunafahamiana
  2. Quinine Mwitu

    Fahamu Majina ya kinyakyusa na maana zake

    Aaaah Nimesomea mkwajuni hapo nimechezea Sana hayo maeneo
  3. Quinine Mwitu

    Fahamu Majina ya kinyakyusa na maana zake

    Wapi hiyo mwambani au mkwajuni au galula
  4. Quinine Mwitu

    Fahamu Majina ya kinyakyusa na maana zake

    Shida watu wakiona Jina lolote linaanzia na Mwa wanajua ni wanyakyusa,kuna akina Mwakalunde mwachiluwi nk hayo ni ya kibungu
  5. Quinine Mwitu

    Fahamu Majina ya kinyakyusa na maana zake

    Haya ni majina sio ya kinyakyusa ni majina ya wabungu ni huko huko songwe ni ukoo mkubwa
  6. Quinine Mwitu

    Kama Kweli Mungu ni Mungu wa Israeli, Kwanini Anaiacha Israeli Inapata Vipondo?

    Mungu wa Israel ndio Mungu wa wafarisayo na ndio Mungu wa wakulya wote Sawa tu
  7. Quinine Mwitu

    Rais Samia hii siyo sawa, unawapa Taifa Stars Tsh milioni 700 na kuna shule zina hali mbaya

    Hatuwezi kushindwa Kula Kisa tuko uchi,ubora katika mchezo na kuwa na madaraka ya kutosha vyote tunavihitaji,hatuwezi kataa kimoja Kisa kingine hakijafanyika
  8. Quinine Mwitu

    Kwanini China nchi ya kidikteta ina maendeleo makubwa kuliko Kenya na Zambia?

    Miluzi mingi humpoteza mbwa,kwenye demokrasia watu wanapata muda wa kukosoa kila kitu! Kuna kijiji nilikulia miaka ya tisini kile kijiji kilikuwa kisafi Sana wanakijiji waliishi Kwa ushirikiano Sana,barabara walitengeneza wenyewe Kwa kujitolea,hapo ndio Kiongozi alipatikana Kwa kuangalia mtu...
  9. Quinine Mwitu

    Zembwela amewezaje kuwa Mwenyekiti wa waandishi wa habari katika Kikao cha Makonda Arusha badala ya Kikeke na Ivona Kamuntu?

    The Degree doesn't make you graduate,but whom you know will make you graduate
  10. Quinine Mwitu

    Yanga kumkosa Aucho mechi ijayo wanaweza kulizwa tena

    Wabongo mnapenda Sana kujiliwaza ila mi nimefurahi yaani mpaka hapa wote tuna huzuni na furaha kikubwa tu ukipoteza kubali kuwa umezidiwa mbinu kajipange tukutane tena ila inaonekana wenzetu mnapopoteza mnatoka kabisa kwenye reli,mara viongozi,mara bahasha,mara ushirikina mara sanda mara GSM...
  11. Quinine Mwitu

  12. Quinine Mwitu

    Utabiri wa Edo Kumwembe umetimia

    Kupoteza kawaida ila mnajimaliza Sana,Baka amewahi Fanya lini uhuni?
  13. Quinine Mwitu

    Hakuna Taifa linaloitwa Palestina liliwahi exists tangu dunia iumbwe kumbe

    Wanaopingwa katika uvamizi WA eneo la palestina sio waisrael Bali ni wavamizi Kwa kofia ya waisrael
Back
Top Bottom