Ndevu zina raha yake sana kuna namna zinakuchezea kwenye maeneo yenye ashk..ukikutana na mwanaume anayejua kuzitumia utatamani kila mwanaume wako awe na ndevu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea uso wako ni wa mafuta au mkavu kabla hujajua utumie nini..kama ni wa mafuta usipake kitu vitapotea kama ni mkavu paka kiazi mbatata tu asubuhi na jioni
Sent using Jamii Forums mobile app
Dawa ya kutibu jino ipo! Mimi shahid..nina miaka zaid ya mitano sasa tangu nitibu jino bovu na kwasasa napiga tu mswaki vizuri nalichokonoa vizuri lile jino lililokua bovu maisha yanaendelea.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.