Recent content by Queen L

  1. Q

    UKAWA mnachanganya wapiga kura...

    Na bado
  2. Q

    Natafuta wateja wa Mbuzi

    Unauza bei gani
  3. Q

    Dawa ya kitambi hii hapa

    Lugha ya watu jmn hiyo usidhani km wote watakuwa wameelewa weka kwa lugha ya taifa.
  4. Q

    CHADEMA imedhoofu mpaka inatia huruma!!

    Watu wanajifariji duuuh!!!
  5. Q

    Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

    Sinza gani mie nautaka maana siku hiz ngozi yangu siilewi
  6. Q

    Wadada wa kazi na visa vyao, nimemtimua wangu jana

    Kwanza huna ht haya kuleta hiyo mada humu jf yaani dada wa kazi anafua nguo zako naza mkeo kwanini asifue mkeo,nyie ndio mijitu inayotandikiwa hadi kitanda huyo mkeo hajafunzwa jinsi ya kutunza ndoa yake aibu.
  7. Q

    Wananchi kanda ya ziwa waanza kurudisha kadi za CHADEMA!

    Nyie bishaneni mtukanane wenzenu yakwao yanawaendea,mwisho wa siku nyie ndio mtakaopigana na kuwa wakimbizi wenzenu familia zao wanazipeleka ulaya kwa raha zao
  8. Q

    Wauza smartphone tukutane hapa

    leta 150000 mie ninae y300 bado mpya haina tatizo.
  9. Q

    Nauza iPad na Tablet, bei maelewano

    Heee!!! Samahani km nimekuboa sikujua i'm sorry.
  10. Q

    Nauza iPad na Tablet, bei maelewano

    mbn huweki picha
  11. Q

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Nina y300 ipo ktk hali nzuri bei sh 150000 mwenye kuhitaji ani pm.
  12. Q

    Nauza iPad na Tablet, bei maelewano

    Weka picha na bei ili tuone.
  13. Q

    Malumbano ya hoja ITV: MWAKILISHI KUTOKA TUME YA YAIFA YA UCHAGUZI KACHEMKA

    kweli kabisa ht mie nimeshangaa ht kutoa lile neno la mwisho baada ya kipindi kufika mwisho ameshindwa kusema,daah yaani aibusn.
  14. Q

    Sugu ashinda kesi dhidi ya Faiza kuhusu malezi ya mtoto, Faiza aomba nafasi ya kujirekebisha

    Kwani kuwa muigizaji lazima uvae nguo sizizo na maadili,na ukivaa nguo za heshima unapoteza sifa za kuwa muigizaji?
Back
Top Bottom