Kutafakari na kubuni njia mpya ya mabadiliko!
Hii hatari inaenda mpaka kwa wagombea ubunge wa Chadema...huu ni upuuzi sana
Uchaguzi umefanyika wapi mpaka useme CDM wamepoteza?? Mapenzi yanaweza kuondoa uwezo wa kufikiri hali kadhalika hisia na ushabiki.Hii sio njia ambayo tuliipanga kwa muda mrefu...sio njia ambayo ni sustainable...hii battle tumepoteza kijinga
Mkuu hao madiwani wanaohama ninawajua vilivyo...ni sehemu ya mfumo uleule tulioukataa 2010.Umejikita zaidi kwenye hisia kuliko uhalisia. Wewe haoni wimbi la madiwani kujiengua CCM na kujiunga CDM? Unafikiri wajinga hao.
Mkuu hao madiwani wanaohama ninawajua vilivyo...ni sehemu ya mfumo uleule tulioukataa 2010.
Walikuwa ni kikwazo kikubwa cha mabadiliko leo hii wamekosa au kusoma upepo ndio wanahamia ???inachukiza sana.
Tulikuwa na uwezo wa kufanikisha sisi kama sisi bila hawa mamluki!
Mkuu bado kuna mabaya yanakuja ambayo yanatufanya tujitetee badala ya kushambulia
Toka lini unaihurumia cdm?acha isajiliBaada ya ujio wa mheshimiwa sana tunashuhudia udhoofu mkubwa wa Chadema kwa kuwa ilikuwa inategemea ushabiki wa wale wasio na vyama!
Chadema imebaki kusubiri makapi ya ccm ambayo yanatafuta pa kumalizia muda wao kisiasa.
hili ni jambo linalotuumiza sana wale tuliotaka mabadiliko ya kweli kupitia chadema.
Baada ya ujio wa mheshimiwa sana tunashuhudia udhoofu mkubwa wa Chadema kwa kuwa ilikuwa inategemea ushabiki wa wale wasio na vyama!
Chadema imebaki kusubiri makapi ya ccm ambayo yanatafuta pa kumalizia muda wao kisiasa.
hili ni jambo linalotuumiza sana wale tuliotaka mabadiliko ya kweli kupitia chadema.
Tungeweka na kuyasimamia masharti tungepita salamaNimekuelewa lakini ina sound vipi kwa wananchi? Nani kapoteza? Huoni wanakuja watafuata mfumo wa huku walipo. Mkuu nikija kwako kama nina tabia zangu mbaya utanivulimia niishi kama nilipotoka au kwa masharti ya mwenye nyumba ambaye ni wewe?
Siasa hizi zimejengwa kimfumo.