Recent content by Qualifier

  1. Qualifier

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Ungetudokeza hiyo technology tungechangia mawazo na research yako ingekamilika upesi
  2. Qualifier

    JamiiForums Tanzania Kwanini kwa Tanzania ni kheri uwe Waziri wa Wizara yoyote tu Utaheshimika kuliko ukiwa Makamu wa Rais ambapo Utasahaulika na Kupuuzwa?

    Ninadhani ni maamuzi binafsi ya mtu mwenyewe akiamua kuinua mapembe maagizo yake yatatekelezwa
  3. Qualifier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa sana na hawa wanaume kumpigania muhudumu

    Utoto ukikua utaelewa
  4. Qualifier

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kwanini hapa kwetu Ifakara kukatika umeme ni kila siku hasa tunapo anza kusikiliza taarifa ya saa 2 usiku ? jambo hili ni gumu kiasi gani kubadilika ? mbona imekuwa ni kawaida sasa ? hamuoni kama mnawakera watumiaji wa umeme ?
  5. Qualifier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo ya mapenzi na tendo la ndoa tulioyatoa kwa wanyama

    Huja tuambia wanawake kulia wakati wa tendo la ndoa wameiga to mnyama gani ?
  6. Qualifier

    JamiiForums Tanzania Airtel yatoza fedha usajili wa laini za simu wilayani Masasi

    Eti kufa kufaana
  7. Qualifier

    JamiiForums Tanzania Serikali yaajiri walimu hewa(?) Ushahidi huu hapa...

    Mhhh Ngachoka mie
  8. Qualifier

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kisutu imegoma kumfutia dhamana Tundu Lissu baada ya Jamhuri kuomba afutiwe

    Busara ! Busara ! Busara ! nikuone wapi nichague lililo jema ?
  9. Qualifier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ajirusha mbele ya lori baada ya kusalitiwa kimapenzj

    there were so many fish in the sea besides her why committing suicide instead of looking for another ?
  10. Qualifier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Afisa Mwandamizi wa polisi ahukumiwa kifo kwa kumuua mahabusu

    Waungwana nikumbusheni nimesahau geography ya shule ya msingi hivi kenya iko bara gani? maana wanaptenda haki wanaikaribia uswiss
  11. Qualifier

    JamiiForums Tanzania Lugola awatangazia vita wanaomkejeli Rais Magufuli mitandaoni

    Mimi ninashauri yaainishwe maneno ya kejeli na matusi ni yepi maana kunawatu watakamatwa ilihali hawakuwa na lengo la kutukana bali wamekosa tafsiri ya matusi kejeli au uchochezi
  12. Qualifier

    JamiiForums Tanzania Lugola awatangazia vita wanaomkejeli Rais Magufuli mitandaoni

    Absolutely true
  13. Qualifier

    JamiiForums Tanzania Tanzania inadaiwa zaidi ya Tsh. Bilioni 400 kwenye Mahakama za Kimataifa

    Ziwe zinafanya safari za ndani tu
  14. Qualifier

    JamiiForums Tanzania MAREKANI: Takribani watu 13 wameuawa kwa kupigwa risasi

    The world is going bad and people are getting mad
Back
Top Bottom