Mimi sio muislam na itapendeza mambo ya waislam tuwaachie wenyewe. Lakini hata tukitumia nguvu, kejeli matusi bado ukweli utabaki kuwa palepale kuwa BAKWATA kwa namna moja ama nyingine ni chombo cha propaganda cha watawala. Na hili litaendelea hata kama TLP itatawala nchi maana tatizo la Bakwata...
Sasa kama kasema Slaa ndo tuamini? Namheshimu Slaa, ametoa mchango mkubwa sana kwenye Taifa letu. Ni mtu makini lakini ni too small to be a president. JK aongezewe muda, full stop
Una utafiti wowote katika hili la somalia?? Nani akitawala Tanzania haitakuwa kama Somalia? Changamoto zipo na JK hajapinga changamoto na ndio maana hajishughulishi nazo. Bado hujajenga hoja ni kwa nini JK asiongezewe mhula mwingine wa tatu
Unatumia nguvu nyingi kupingna na hoja ndogo sana. Dig deep kwenye issues. Nasema hivi, JK amefanya mema mengi kwa Tanzania pamoja na Changamoto za kiutawala anazokutana nazo. Kubali hoja kwa hoja, pinga hoja kwa hoja. Hayo mengine unayoyasema ukayaseme kwa wenzako mnapokuwa mnasukana nywele au...
Hakuna shaka kuwa wapuuzi ni wale wanaoupinga ukweli. Hata kama una chuki binafsi na JK lakini kusema ukweli mema tunayaona.
Mradi wa mabasi yaendayo kasi umeshaanza, upo hatua ya mwanzoni
Flyovers nazo zipo mbioni...
Mnataka mfanyiwe nini watanzania??
Ni wehu tu watakaopinga kuwa JK amefanya mema mengi kwa WATANZANIA
Madudu ya EPA, MEREMETA et al yamefanyika wakati wa Mkapa
Muda mwingi amevumilia kutukanwa kwa ajili ya makosa ya wengine. Hakuna ikomavu wa kisiasa unaofanana na waa JK.
Sasa ameanza kuijenga nchi.
1. Elimu safi na itaendelea...
KAULI ya Rais Jakaya Kikwete kukubali kuundwa kwa katiba mpya ni ya kiungwana; na uthibitisho kwamba CHADEMA waliposusa hotuba yake Bungeni, aliguswa. Na sasa amejua hawezi kushindana na nguvu ya umma.
Lakini kauli yake inapaswa kutazamwa kwa uangalifu mkubwa; kwani imeonyesha sura halisi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.