Recent content by QuadKabaku

  1. QuadKabaku

    Niliyoyaona baada ya kumiliki gari ya Mzungu

    Uko sawia kabisa mkuu 100% mie nilianza na wazungu since 2007,sijahama mpaka hivi leo. Huko ulipo no way lazima uwe na fundi kutoka nje ya hapo. Ukitafuta fundi local ataua gari. It happened to me once... na Sasa mafundi wa gari za mzungu wapo wengi tu... anasafiri chap anakuhudumia chuma kina...
  2. QuadKabaku

    Tunauza pumba laini za mpunga na chenga

    Unapatikana wapi? Weka namba ya simu kurahisisha mawasiliano
  3. QuadKabaku

    Tunaomiliki magari ya mzungu tukutane hapa

    Mungu amenijalia nimetumia VOLKSWAGEN KHARMANN GHIA (ya kizamani sana hii) Peugeot 504 pick up, Land Rover 110 TDi, Mercedes Benz E190, ML500, E200 (W210),Volkswagen Golf MKIV, AUDI A4, na VOLKSWAGEN TOUAREG 2.5. Hizi ni gari za ukweli,changamoto tu ni gharama za maintanance. Mafuta pia...
  4. QuadKabaku

    Mwanamke afariki kwa kuliwa na nguruwe wake

    Mathayo 7:6 Msiwape mbwa kilicho kitakatifu, wala msitupe lulu zenu mbele ya nguruwe, wasije wakazikanyaga chini ya miguu yao, wakageuka na kuwararua.
  5. QuadKabaku

    Mwanamke afariki kwa kuliwa na nguruwe wake

    Ngamia sili mjomba... Mambo ya Walawi 11:4 Pamoja na hayo, wanyama hawa hamtawala katika wale wenye kucheua, na katika wale walio na kwato; ngamia, kwa sababu yuacheua lakini hana kwato, yeye ni najisi kwenu.
  6. QuadKabaku

    Mwanamke afariki kwa kuliwa na nguruwe wake

    Mathayo 5:17 Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza.
  7. QuadKabaku

    Mwanamke afariki kwa kuliwa na nguruwe wake

    Mathayo 5:17 Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza.
  8. QuadKabaku

    Mwanamke afariki kwa kuliwa na nguruwe wake

    Mathayo 5:17 Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza.
  9. QuadKabaku

    Mwanamke afariki kwa kuliwa na nguruwe wake

    Mambo ya Walawi 11:4 Pamoja na hayo, wanyama hawa hamtawala katika wale wenye kucheua, na katika wale walio na kwato; ngamia, kwa sababu yuacheua lakini hana kwato, yeye ni najisi kwenu. Kumbukumbu la Torati 14:7 Lakini, hawa msile katika wale wenye kucheua, na hao waliopasuliwa ukwato; ngamia...
  10. QuadKabaku

    Mwanamke afariki kwa kuliwa na nguruwe wake

    Ni kweli kabisa ni Kwa wanaoamini tu Maandiko Matakatifu ya Mwenyezi Mungu muumbaji wa mbingu na nchi, bahari na vyote vilivyomo sio kwa wote [emoji1545][emoji1545][emoji1545] Hivyo basi kwa wasioamini sio haramu.
  11. QuadKabaku

    Mwanamke afariki kwa kuliwa na nguruwe wake

    Mathayo 5:17 Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza.
  12. QuadKabaku

    Mwanamke afariki kwa kuliwa na nguruwe wake

    Mambo ya Walawi 11:7 Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu. Kumbukumbu la Torati 14:8 na nguruwe, kwa kuwa amepasuliwa ukwato lakini hacheui, huyu ni najisi kwenu msile nyama zao, wala mizoga yao msiiguse.
Back
Top Bottom