Mwanamke afariki kwa kuliwa na nguruwe wake

Mwanamke afariki kwa kuliwa na nguruwe wake

Mambo ya Walawi 11:7 Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu.

Kumbukumbu la Torati 14:8 na nguruwe, kwa kuwa amepasuliwa ukwato lakini hacheui, huyu ni najisi kwenu msile nyama zao, wala mizoga yao msiiguse.
Punguzeni unafki basi mbona pweza nhisi kambale Tasi ngamia mumekula au hizo aya munazisahau?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo ni agano la kale mkuu, nenda kasome agano jipya mkuu une kama Mungu alikataza tusile KITIMOTO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mafundisho huwezi kutatulia ndani ya Quran ila waislamu huyalazimisha kuyafuata ili iyonekane kweli dini yao imetokana na mpango wa Mungu kumbe sivyo Kabisa, mfano Kunywa pembe, kuvua viatu,kutokula ngurue Nk. Mafundisho Kama hayo wanayaazima ndani ya Biblia ilibaki hayawahusu. Hakuna sehemu Ndan ya furqan inyowataka wavue viatu msikitini. Kama ipo mutujuze tafadhali

Jambo jingine wanajilazimisha kumfuata Biblia huku wanapungua msingi mkuu wa Biblia coz msingi mkuu wa Biblia Ni WOKOVU WA MUNGU aliotuletea wanadamu kupitia Mwanae pekee Yesu Kristo.

Sofar inawafaa Sana waislamu wajitafakari kwa Yale wanayoyaamini.... Isijekuwa wanamuongezea bundi macho.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Punguzeni unafki basi mbona pweza nhisi kambale Tasi ngamia mumekula au hizo aya munazisahau?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mambo ya Walawi 11:4 Pamoja na hayo, wanyama hawa hamtawala katika wale wenye kucheua, na katika wale walio na kwato; ngamia, kwa sababu yuacheua lakini hana kwato, yeye ni najisi kwenu.

Kumbukumbu la Torati 14:7 Lakini, hawa msile katika wale wenye kucheua, na hao waliopasuliwa ukwato; ngamia, na sungura, na kwang’a, kwa kuwa hucheua, lakini hawakupasuliwa kwato, ni najisi kwenu;

Mambo ya Walawi 11:10 Na hao wote wasio na mapezi na magamba, ndani ya bahari, na ndani ya mito, katika hao waendao majini, na katika wote wenye uhai, waliomo majini, hao ni machukizo kwenu,

Hakuna unafiki... hao uliowataja wote pia ni najisi,mistari husika hii hapo juu.
 
Back
Top Bottom