Mwanamke afariki kwa kuliwa na nguruwe wake

Mwanamke afariki kwa kuliwa na nguruwe wake

Hapo sawa nguruwe kula watu hahaha

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Hyena meat is also eaten in areas of Pakistan and Iran, where it is also considered halal. Speaking to the Gazette, Abdulraheem Al-Otaibi said he loved the taste of the meat and championed its medicinal benefits: "Hyena meat has a unique taste and has an effect that is stronger than well-known aphrodisiacs

https://www.google.com/url?sa=t&rct...halal-481755&usg=AOvVaw3eIFuO7bj0pJO5zfhK0zbT
Nakuuliza wewe UNAKULA?usiniletee majarida UCHWARA..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngamia sili mjomba...

Mambo ya Walawi 11:4 Pamoja na hayo, wanyama hawa hamtawala katika wale wenye kucheua, na katika wale walio na kwato; ngamia, kwa sababu yuacheua lakini hana kwato, yeye ni najisi kwenu.
Usilete mambo ya agano la kale apa.

Iyo taurati ilikuwa na mapungufu mengi sana.

Mfano kwenye taurati ilisema "mpende jirani yako, mchukie adui yako." Yesu alirekebisha na kusema "wapendeni adui zenu, muwatendee mema"

Tatizo wayahudi walikuwa na vichwa vigumu na wabishiii.

Yesu alikuja ili kutimiliza Taurati na siyo kuitangua..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hyena meat is also eaten in areas of Pakistan and Iran, where it is also considered halal. Speaking to the Gazette, Abdulraheem Al-Otaibi said he loved the taste of the meat and championed its medicinal benefits: "Hyena meat has a unique taste and has an effect that is stronger than well-known aphrodisiacs

https://www.google.com/url?sa=t&rct...halal-481755&usg=AOvVaw3eIFuO7bj0pJO5zfhK0zbT
Mwambie uyo

Chochote kilicho na uhai kinaliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vile ambavyo utaona wewe ni sahihi au siyo sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwhyo DINI inafata matakwa ya MTU au MTU anafata DINI inavyotaka?maneno ya BIBLE NI MAFUMBO,,,si kila kilichoandikwa kinamaanisha vile unavyoelewa,,,,TORATI ilishakataza NGURUWE....na YESU anasema hakuja kutenguwa TORATI Bali KUITIMILIZA...huyo NGURUWE NI HARAMU,,,pamoja na FISI wake..hakuna kukwepa hapo MKUU,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usilete mambo ya agano la kale apa.

Iyo taurati ilikuwa na mapungufu mengi sana.

Mfano kwenye taurati ilisema "mpende jirani yako, mchukie adui yako." Yesu alirekebisha na kusema "wapendeni adui zenu, muwatendee mema"

Tatizo wayahudi walikuwa na vichwa vigumu na wabishiii.

Yesu alikuja ili kutimiliza Taurati na siyo kuitangua..

Sent using Jamii Forums mobile app

Mathayo 7:6 Msiwape mbwa kilicho kitakatifu, wala msitupe lulu zenu mbele ya nguruwe, wasije wakazikanyaga chini ya miguu yao, wakageuka na kuwararua.
 
Back
Top Bottom