Recent content by qq.com

  1. qq.com

    Picha: Mapokezi ya Dr. Slaa Kigoma! [PHOTOS ARE FAKE]

    Nyingine zitafuata na zitaingizwa na Tumaini Makene au Molemo au Kurugenzi ya Habari Chadema =======
  2. qq.com

    Ufisadi Jukwaa la Wahariri-Mwenyekiti Kibanda apewa tuzo ya Milioni 10!

    Mbona wametoa,kumbe full magumashi! http://www.utpc.or.tz/index.php/latest-news/522-daudi-mwangosi-media-support-and-development-fund-committee-convene
  3. qq.com

    Diwani wa CCM aliyeua watu 2 aachiwa huru na hakimu badala ya jaji!

    umekwisha sema ni diwani wa CCM sasa unategea nini?we ni mgeni tanzania nini? jipange
  4. qq.com

    Padre amwagiwa Tindikali huko Zanzibar

    Hii sasa ni to much! Shein nchi imemshinda!
  5. qq.com

    Mambo 25 ya kufanya unapokuwa na mpenzi wako ili akupende zaidi!

    tanzania inakaribia kuingia kwenye vita na nchi jirani,kamanda uko kwenye ngono! safi sana hivi takwimu za maambukizi ya UKIMWI kwa sasa tz yakoje?
  6. qq.com

    Suala la Kidiplomasia kati ya tz na nchi nyingine kuzorota pigo kwa MEMBE!

    kuna msemo unasema kuwa 'baya 1 laweza futa mazuri 10 na ukaonekana wa hovyo" maana yangu ni kuwa iwapo tanzania itaingia katika vita na ama rwanda au malawi,basi umuhimu wa ujio wa viongfozi wa Usa na china itakuwa haina maana. je membe kwa nafasi yake kafanya nini kwa hali ilivyo...
  7. qq.com

    Suala la Kidiplomasia kati ya tz na nchi nyingine kuzorota pigo kwa MEMBE!

    we unajua kazi ya waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa au unatoa povu tu! jipange!
  8. qq.com

    Suala la Kidiplomasia kati ya tz na nchi nyingine kuzorota pigo kwa MEMBE!

    je umesikiliza swali la mbowe kwa pinda leo? we unaweza kuwa na tataizo la uelewa!
  9. qq.com

    Suala la Kidiplomasia kati ya tz na nchi nyingine kuzorota pigo kwa MEMBE!

    Membe ni waziri wa mamabo ya nje na ushirikiano wa kimataifa lakini kwa jinsi mambo yanavyokwenda hasa kwa nchi majirani za uganda,kenya,rwanda na malawi zinavyoiyumbusha ytanzania inaonesha wazi kuwa membe ameshindwa kabisa kuweka mambo sawa kwa kutumia nafasi yake. kama ameshindwa hili je...
  10. qq.com

    Updates: Special Thread Kagasheki Cup Bukoba!

    Niliposema Kagasheki ni zaidi ya Mbuge kuna watu walinuiponda! sasa wajitokeze hapa umeniwahi kuweka hii,mkuu uko pande zip bk?
  11. qq.com

    Bukoba: CHADEMA wavurugana baada ya kutaka kumpindua Lwakatare

    Bora umeleta wewe! niliwahi sema katika moja ya thread kwamba LWAKATARE hauzi tena Bukoba watu wanakiponda. Hivi sasa Lwakatare ana mgogoro na mbunge wa viti maalum wa CDM conchesta Lwamlaza.wanachogombania ni kwamba lwamlza hataki kumuheshimu lwakatare kwa kuwa huyo mama ndiye watu wa kwaza wa...
  12. qq.com

    Mwenyekiti wa Wazazi CCM Taifa Bulembo asema viogozi CCM Kagera hawafai!(PICHA)

    Tatzo la ccm Kagera ni Bw Mushi huyo katibu wa CCM mkoa,ameharibu chama kabisa kwa kuendekeza makundi ndo maana wana CCM hawalipi ada.huku wakijidai wanao wanachma wenbgi wakati hawalipi ada.Huyo ni kibaraka wa Dk AMAN katika mgogoro wa MEYA na Mbunge
  13. qq.com

    Maandamano ya kumpokea Lwakatare Bukoba ni kesho kutwa!

    Nafikiri,Ma-Moderator kwa sasa wameenda lunch! wakirudi unakula BAN wewe!
Back
Top Bottom