Me ni mkimya afu mpole mara nyingi nakataga upara pia nanyenyua vyuma afu nina sura ya kikauzu kama van diesel.Tena nina kauhandsome kwa mbali.Hapa madem walipata shida sana enzi za skuli. huwa sicheki cheki ovyoo. Shulen walimu walikuwa wakitoa chance ya kujitetea kwenye adhabu nilikuwa napona...
Daaah jamaa anajibu maswali kama maraika vile..i think unaweza ukafungua kanisa . Ivi hii elimu ya ajabu ajabu huwaga mnaitowa wapi mkuu [emoji848][emoji848][emoji848]
Sema kunawatu ambao wamekua washakutaga wazazi wao washaga tengeneza mizizi toka kitambo watu kama hawa huwa hawajapitia msoto sana ko ukimletea habari za kufeli feli katika mishe zako kwanza watakuona huna akili. Ki ukweli kama unatafuta mafanikio mambo ni mengi wazee. Bila mambo mambo utaishia...
Huyu itakuwa alikuw Anauza mahitaji ya nyumban maana hii biashara inahitaji experience ya hali ya juu kwenye biashara hii usipochangamka unawez Ukajikuta unapekechua mpaka mtaji unakula
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.