Recent content by qeenan

  1. Q

    Bahari ni kiboko ya usafiri wa wachawi

    Wee Kenzy unaleta utani sasa
  2. Q

    Mke mzuri lakini, Ungekuwa ni wewe ungefanyaje!?

    Waendelee tuu nakamchezo kao siwalsha Zoea
  3. Q

    Jinsi ya kuongoza ndoto za usiku utakavyo (Lucid Dreams)

    Kwakawaida nikiota ndoto ilikuwa inatokea km ilivyo baada ya km sikumbili or inawezakaa atamiaka miwili ikapita but kinatokea kilakitu adi basi una uta nakumbukailendoto na huaga sisahau so naomba niulze nini ivi?
  4. Q

    Kujamba (kutoa ushuzi) kuna faida kiafya?

    Wewe unaependa mdada akijamba inaelekea mtu wa kula doko
  5. Q

    Diamond Plutnumz atangaza Mimba ya Zari thebosslady Rasmi

    Kila jambo nawakati wake naamini mungu hakpanga itokee kwawote aliopitia japo yy alipanga iweivyo ilamungu alimpangia mwanamke tofauti tena asie atawarika lake na tayari mwenye familia yake ndio aje amzalie tena asie wa nchi yake kikubwa anachotakiwa nikumshkuru mungu kwa aliyomtendea kwani...
  6. Q

    Cultural tourism: Tazama Wamasai wa Namibia wanavyopendeza

    Mbona mm ninaonawamasi wakwetu Tanzania niwazuri zaidi kuliko hao wanamibia kwanza wachafu.
  7. Q

    Mke/mme asiye mwaminifu kwa mwenza wake

    Chamuim dili na anaekuhusu kama umemfumania mmeo dili na mumeo na kama nimkeo dil na mkeo kuanza tif namtu usie mfaham inaweza ikala kwako mume anaweza akawa wako nakipondo ukala vilevile mwengne anakuua kabsa so uangalie nauyo mtu wakugombana nae coz kosa nilamumeo
  8. Q

    Nini tafsiri ya mabinti kuzaa wakiwa bado wapo kwa wazazi?

    Msichana kama msichana swala lakujilinda nakujchnga nilako mwenyewe haswa unapofkisha umri wa miaka 18 unatakiwa ujitambue nakujiona wathamani hakuna mwanaume atakuchezea jitambue msichana.
  9. Q

    Kwa Mwanamke Alo Serious Kuolewa tu

    Mchepuko nipi
  10. Q

    Wachaga mnijuze, sijawahi kusikia uchawi kutoka kwenu

    Ukikuta mchaga yuko naushirikina anakuwa mbaya kwelikweli roho inakuwa mbaya Mara mbili koz wenyewe wanaroho zaajabu alafuukute amechanganya na haya mambo utafurahi nakwambia uchawi wamchaga nikiboko Nigeria haifui dafu,wanatumia adi misalaba kufanyia yao
  11. Q

    Hiki ndicho alichokiongea yule Msichana aliyempiga Mtoto Uganda

    Yaani yule hapaswi kuishi kwenye ulimwengu huu,kifo kingekuwa saiz yake kwakweli,japo imeandikwa tusamehe saba Mara sabini ilakiekweli yule Dada nimuuaji
  12. Q

    Wanaume hawapendi wanawake wanaokunywa pombe na kuvuta singara

    Unajua tatzo letu wadada wakiafra tunapenda sana kuiga kwanza msichana ukishavuta sigara inaletapicha nyingine tofauti ktk jamii yaani ww umeshaekwa kwenye kundi la malaya atauwe mwema or mzuri kiasi gani unaonekana nothing,ukija kwenye pombe ndio kbsa niliwahi kuwa na best wakichaga mungu...
  13. Q

    Diamond anyakua tuzo 3 zinazotolewa na Chomva 2014

    Tatizo watanzania tunaendekeza chuki zisizokuwa nampango lazma tu kubali kila jambo na wakati wake huu niwakati diamond jamani kwanini tusimpe surport nakuacha kumkejeli kiukweli anaweza atakiba anatakiwa akubali waache bifu zakizembe kiukweli unaweza kaka unaiwakilisha vyema Tanzania...
  14. Q

    Ndoto hizi za ngono zina tafsiri gani?

    Hiyo yakuota unamfanya mwanaume mwenzako utakuwa kamchezo unako or unatamani sanahiko kitu hujakipata
Back
Top Bottom